Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
..yap yap...vipi hazipandi...Cuban cigar......au?
..yap yap...vipi hazipandi...Cuban cigar......au?
...yeah mkuu ...kisha pata hii kitu..Cuban cigar......au?
Vunja mfupa kama meno bado iko......
Source: sam mapangala
njoo ufanyiwe maombi... Bishanga
Acha woga.......jiko haliogopi moto na lami haiogopi tairi.
..mwambie uwoga ndio umaskini wake....Acha woga.......jiko haliogopi moto na lami haiogopi tairi.
jitihada za kuwa una pesa? Me napenda vitendo thats why me na my hubby Chimbuvu tunasonga mbele
Nina chimbo bulyangh'ulu
Hebu mwambie
mh umenibadilishia maneno jaman wataka nigombanisha
Heeee tugange yajayo tusahau yaliyopita
Karibu......nipo kwenye lijakuzi 28th floor the fourseasons hotel maeneo ya hydepark hapa london,ila jioni nita fly kwenda new york kuna documents za kusaini.