Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
ubaya gani tena
Last edited by a moderator:
kakopa saccos mbona mtamkoma,ngoja ziishe kama hamjadaiwa hadharani wote watakaoshiriki kufilisi vijisenti vya saccos!
tena hata akakupa kikombe cha chai mjue mtadaiwa nyote. Nawatikiapi shosti
we subiria mziki wake,shemeji yangu Bishanga namjua vilivyo!
hahaha shem wako ameishiwa. Ndala pia za kuazima
hahahaaaa!umeona eeeee!lakini bado anajikweza,hebu ninyamaze mie asijenifitini ukweni bureee!
hahahahahah unazeeka vibaya Bishanga lol sasa situlikubaliana ni hit and run chakuja kusema waziwazi humu nini nanitazi chop tena na nitachop na hizo bidhaa zako zote ukome pakuringia hahahahahahPaloma chop my money
cacico chop my money
Madame B chop my money
amu chop my money
nivea chop my money
Arabela chop my money
........because i don't care....i don't care.
Copy: mabwana zenu wambieni hawana uwezo wa kunifanya lolote mi nna hela bana.
Copy mtu chake.......msalimie Preta mwambie billionea bishanga is on the loose.
Copy: Kongosho .....nimechoka na wanawake vijeba.....nahitaji stimu.
Copy Mamndenyi........mwambie Vin Diesel namuwinda kwa mshale wenye sumu,ama zake ama zangu.
Copy: Baba V......hayakuhuu.
wife umefata nini huku....umekuja hata hujanambia....BISHANGA anaumwa concasheni...shosti me hata sielewi yalivyoanza. Wanatakakutugombanisha..
hahaha utajisifu sana mwaka huu. Huambui hata.
wife umefata nini huku....umekuja hata hujanambia....BISHANGA anaumwa concasheni...
huyo ana utajiri wa kwenye keyboard....kazee lakini kahuni kahuni...tu