chop my money......

chop my money......

Kwani za kwako? Halafu ujue mi nna hela barrraaa

hata kama sio zangu zitumie vizuri,au mtumie mama mkwe wangu kijijini afungue mabiashara na kujenga mijumba ya maana!we ngoja kaka ako aone ulichopost leo mi simo!
 
hata kama sio zangu zitumie vizuri,au mtumie mama mkwe wangu kijijini afungue mabiashara na kujenga mijumba ya maana!we ngoja kaka ako aone ulichopost leo mi simo!

Harusi yenu lini? Halafu ujue hamjanipa kadi.
 
Paloma chop my money
cacico chop my money
Madame B chop my money
amu chop my money
nivea chop my money
Arabela chop my money
........because i don't care....i don't care.
Copy: mabwana zenu wambieni hawana uwezo wa kunifanya lolote mi nna hela bana.
Copy mtu chake.......msalimie Preta mwambie billionea bishanga is on the loose.
Copy: Kongosho .....nimechoka na wanawake vijeba.....nahitaji stimu.
Copy Mamndenyi........mwambie Vin Diesel namuwinda kwa mshale wenye sumu,ama zake ama zangu.
Copy: Baba V......hayakuhuu.

kumbe leo friday!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom