wanasemaga mapacha na tunaushauri,comments na quote zinazofanana cc MunkariKhaa!
Kumbe Mashaxizo na Mwekundu wanagundu ee?
Haki ya Mungu ma ticha nimecheka sana!
Nimeona sehem nyingi nikitajwa na Mwekundu!
Hahahahahaaaa!
...
Mimi kwako ile ya kunywa nanii pamoja! Nashangaa hakutuwekea!!!
I 1 and 5 you Mentor1. I 1 u Mrembo by Nature na dada Mamndenyi na christine ibrahim na dada neggirl ...ngawakumisi mcho!
2. I 2 u Kaizer, unaniharibia plans zangu kwa tinna cute
3. I 3 u mshabiki wa siasa kwa mrengo wa chama badala ya utendaji kazi (infact yeyote anayemshabikia yeyote -kisiasa or otherwise- kwa sababu ya mrengo nam-number 3 sana!
4. I 4 u mwallu sema utawa unaninyima nafasi ya kuwa nawe! I swear ningekupata saccos zote navunja.
5. I 5 u Heaven on Earth, mimi49, Mtambuzi, Nicas Mtei, gfsonwin, Paloma, beibe nasty
6. I 6 u mimisa, nikiongea na wewe naishia kuku namba-1 zaidi.
7. I 7 u @jf members wote kwa kweli..leka kapsa!
8. I 8 u Smile (classmate), The Boss (no homo) watu8 (i can't believe hadi leo bro) Kaizer (so that I number-2 u myself) lara 1 (the lunch date!) Kongosho, King'asti, Kaunga (the 3 of u pamoja..i wanna have number-11 with), babu Dark City.
9. I 9 u MH! Mentor
10. I 10 u kiongozi yeyote (esp uliyeko JF) ambaye unajua unalotakiwa kufanya na hulifanyi (JESHI SLAP!)
11. I 11 u tinna cute darling hadi babu Asprin apate la kusema!
12. I 12 u bro mwekundu na Mashaxizo, Nataka kuoa bana!!!!
na wewe waogopa your clothes will just drop ukiniona? lol
Mentor sukari ya warembo kwa kupendwa tu hujambo!!inaonyesha una nyota ya chips-nipunguzie brother
sure wangu au wewe uko kundi langu?Hahahaa haaaa uwiii
nyota ya chips lol
teh teh mwekundu mi chichemi ......
ukimuona by diamond
Ha ha ha lolMentor sukari ya warembo kwa kupendwa tu hujambo!!inaonyesha una nyota ya chips-nipunguzie brother
Si mbaya no.11 nikimdedicate miss chagga and kabla mtu mwingine ajasema chochote mind you that am armed with Makarov pistol with 9×18mm catridge, muzzle velocity of 315-m/s (1,030-ft/s) and effective range of 50-m (55-yd)