CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 731
- 455
Ongezea hapo stend mpya tena ya juzjuzi ya Mwanza - Nyamhongolo, ni kinyaa.Sio kweli nenda msavu sitendi Dodoma mbezi nk kaangalie
Ongezea hapo stend mpya tena ya juzjuzi ya Mwanza - Nyamhongolo, ni kinyaa.Sio kweli nenda msavu sitendi Dodoma mbezi nk kaangalie
hao ni wabara bwana wasiojua vyoo wamezoe kun*a maporiniHao ndo waswahili, usitaarabu ni 0%
Ukiushangaa uchafu na wao wanakushangaa wewe unayeushangaa uchafu.Waswahili Uchafu kwao sio Jambo la kushangaza.
Alivyosema waswahili kamaanisha sie watanzania sote (watu weusi).hao ni wabara bwana wasiojua vyoo wamezoe kun*a maporini
Then usafi Ni Asili ya MtuUkiushangaa uchafu na wao wanakushangaa wewe unayeushangaa uchafu.
Nakubali sana kwa hilo laakini angetumia watz, siyo kweli kuwa watu weusi wote ni wachafu.Alivyosema waswahili kamaanisha sie watanzania sote (watu weusi).
Sie sote wachafu kuanzia wa bara na wa visiwani. Hatuthamini usafi na ujenzi bora wa vyoo.
Hao unaowalipa hawafanyi usafi?Niende moja kwa moja.
Nimeingia sokoni, nikaona siwezi kufika kwangu na mizigo, acha leo nijistri vyoo vya kulipia Tegeta loop salaleee!
Ni Muda huu nahisi Leo sitakula, nimekata tamaa kabisa. Ndani ya vyoo hivi unatoka na ugonjwa. Jamaniee sikushauri ukaangalie, panatia huruma. Nzi, kinyesi juu sijui, Jaman MTU kamaliza kupata huduma anashindwaje kusafisha.
Siku yangu imeharibika mapema Sana Kwa hali hii safari ni ndefu ndefu Sana ikiwa usafi wa choo uko vile.
Kinondoni mnapokea malipo ya huduma kwa vyoo vile, jiangalieni
Hahahah mkuu nyani mwenyewe.Acha tu mkuu, waafrika Ni nyani tuliochangamka tu.
😄😄😄 tena mimi ndio mkuu wa manyani mkuu 😄😄Hahahah mkuu nyani mwenyewe.
Hahaha kusema ukweli huwa nikiona jinsi tunavyoshindwa kutunza vitu vizuri nahisi aibu kujitambulisha kama mtanzania.😄😄😄 tena mimi ndio mkuu wa manyani mkuu 😄😄
Fanya ukapime UTI kabisa aiseeh usijekumpelekea mwenzio nyumbaniNiende moja kwa moja.
Nimeingia sokoni, nikaona siwezi kufika kwangu na mizigo, acha leo nijistri vyoo vya kulipia Tegeta loop salaleee!
Ni Muda huu nahisi leo sitakula, nimekata tamaa kabisa. Ndani ya vyoo hivi unatoka na ugonjwa. Jamaniee sikushauri ukaangalie, panatia huruma. Nzi, kinyesi juu sijui, Jaman MTU kamaliza kupata huduma anashindwaje kusafisha.
Siku yangu imeharibika mapema Sana Kwa hali hii safari ni ndefu ndefu Sana ikiwa usafi wa choo uko vile.
Kinondoni mnapokea malipo ya huduma kwa vyoo vile, jiangalieni
system za kukatia nyengo maeneo ya sokoni hazijawahi kuwa safi kabisaa sio hapo tu lakini maeneo mengi.
Hapo sehem ingekua salama n kwenye lodge ya karibu, sema.sasa nako n mtihani.
Mmama wa watu umetoka zako kushusha kimba na vimfuko vyako vya nyanya na njegere ile unatoka nje unakutana na yule jirani yako mmbeya. Ghafla mtaa mzima.unajua ulienda kukandamizwa asubuh na mapema gesti za sokoni.