GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,030
Kwani hapa Simba sc MO Dewji anafanya kwa manufaa ya nani?Mkuu GENTAMYCINE ,umeweka angalizo la msingi sana sana kwa kweli. Mimi binafsi sikubaliani na sijui "wataalamu washauri" kutoka Uhispania,labda viongozi wangeweka sababu za msingi za kufanya hivyo.
Pili,huyu jamaa GSM naamini kuna jambo kubwa anataka kulifanya kwa Yanga,but ni kwa manufaa ya klabu,wanachama na Taifa,au ni kwa maslahi yake binafsi,hapo ndipo napata taabu kuelewa. Mliopo huko nyumbani ni vyema mkatusaidia kutafiti ili ukweli uwekwe wazi.
Kongole mkuu.
Mkuu GENTAMYCINE ,umeweka angalizo la msingi sana sana kwa kweli. Mimi binafsi sikubaliani na sijui "wataalamu washauri" kutoka Uhispania,labda viongozi wangeweka sababu za msingi za kufanya hivyo.
Pili,huyu jamaa GSM naamini kuna jambo kubwa anataka kulifanya kwa Yanga,but ni kwa manufaa ya klabu,wanachama na Taifa,au ni kwa maslahi yake binafsi,hapo ndipo napata taabu kuelewa. Mliopo huko nyumbani ni vyema mkatusaidia kutafiti ili ukweli uwekwe wazi.
Kongole mkuu.
Huu upuuzi kuna mtu atakuja kunyongwa hadharani msola na kundi lake wasitufanye mazuzu. Mikataba ya kipuuzi ndio inafanya nchi nyingi za kiafrica tuendelee kunyanyasika ni bora kujiendesha kwa mfumo uliopo kuliko kujiingiza kwenye madeni yatakayo dumu miaka 200 ijayo. Wapeni salamu yanga niya wananchi na sio ya gsm utapeli wake na kumleta yule jamaa wa perepereche wa clouds wambie itawatokea puani.
Pesa huna unapiga kelele hapa,mkiambiwa mchangie timu mnapotea.
Yanga na Raisi wa nchi wapi na wapi?Mpira wa sasa ni kuwekeza sio blaaa blaaMwambie huyo GSM wako kuwa Tanzania hii ya sasa ni ya Rais Dkt. Magufuli hivyo huo Usamjo ( Utapeli ) wake kwa Yanga SC hatoliweza Kamwe.
Tukiwashindwa kisheria ni kuwalipua tuu hatuwezi fanyiwa uhuni na wapumbavu wachache wanatengeneza sinema za kitoto. Ya katanga, simandou, bulyankulu hayata jirudiaUjanjaujanja bongo haushi
Ova
AhahahUkiwa ccm huwezi kuwa na Future
Una njaa Tumboni mpaka kichwani kwa ufupi hakuna deal yoyote inaweza ikafanyika bila tiss kujua ingekua na ubaya ingeishia juu kwa juu wala usingeiskia pole najua unafaidika na get collection mirija imekatwa njaa tu zinakusumbua unataka timu itembeze bakuli kila siku uchangie mia 2 ?we kwl zuzu hujui mpira wa kisasa Yanga kuna wataam wengi hakuna mazuzu pale wanajua wanachofanya acheni uchumia tumboNawaomba upesi / haraka mno PCCB na TISS ' walimulike ' hili vizuri kwani ninavyoliona huyu GSM atakuja ' Kuichafua ' Ligi na hadi Nchi yetu pia.