CHONDE CHONDE RUDISHENI MADENI & Pesa ZOOOTE!! Wataniua Jamani……

Hehehehehe! Walipe bwana, ndio maana aunt mnanipunja hela ya matumizi kumbe umekopesha watu.

lol..... My niece naona uko kujidai sababu tu nimekusamehe eeeh? lol.... Usijali watalipa tu! Mbele ya Kongosho na Ritz na short gun ya ODM.... WATALIPA!!

Nyumbani kuko salama?
 
Hahahahaaaa bora mi nimeshayalipa....hivi Nitonye Humdai kweli zile cret za Banana alizokopa?

Nitonye mjanja.... Alitoka na Sweetie... akamhonga Apple wine sijui chupa ngapi tu deni lake likafutwa... Mwambie nina hasira... Kwanza aache kumumendea my Sweet wifi Sweet Lady....
 
lol..... My niece naona uko kujidai sababu tu nimekusamehe eeeh? lol.... Usijali watalipa tu! Mbele ya Kongosho na Ritz na short gun ya ODM.... WATALIPA!!

Nyumbani kuko salama?

hehehehe! Ningeshangaa parent company kumdai subsidiary company. Hiyo intercompany indebtness tunaiwrite off.
Nyumbani kwema aunt. Tunakumiss sana.
 
Hakyanani ADI, we haya tu
Nimedhani mtu kaiba pasiwedi yako nliposoma kichwa cha habari.

Utanilipa sh. ngapi kuwa bodi gadi?
 
Nitonye mjanja.... Alitoka na Sweetie... akamhonga Apple wine sijui chupa ngapi tu deni lake likafutwa... Mwambie nina hasira... Kwanza aache kumumendea my Sweet wifi Sweet Lady....
Tatizo hata wifi yako kumtoa kwa Nitonye ni ishu...yan kafa kaoza eti
 
Back
Top Bottom