CHONDE CHONDE RUDISHENI MADENI & Pesa ZOOOTE!! Wataniua Jamani……

Sweetie naomba orodha ya wadaiwa sugu haid sasa licha ya kuwapa muda...nawakodi MAjembe auction Mart...

Ila deni la Mwali, nitamlipia mi mjombake....kaniomba kwa dhati kabisa
 
Usiwe na waaas kabisa Sweetie..... Karibu woote wamelipa. Hadi deni sugu la Boss la 20,000/= lililo maliza mwaka. lol... Mwali kalipiwa karibu na vijana watatu.... hivo deni lake limezaa mara 3 zaidi... Naona we are more than rich again....
 
Aisee...sasa kama ni hivyo, tumkopeshe tena...nadhani sasa hivi watamlipia kama 6 hivi LOL
 
Ndio mpango mzima..... nimekalazimisha jana kakope 5 laki... kagoma eti hadi a month later.... lol... sio mbaya lakini.. Leo we have a lot of wageni home.. Usitoke for long Sweetie...lol
 
hhmm najiuliza mkopo ulitumikaje, halafu mie hata sikujulishwa???
Ngoja nipime maendeleo home, vinginevyo hapatatosha...lolest
 
Nakwambia sirudii tena.... Sio jambo la kuthubutu... Account imekua kwa % 47. Home store chakula kama Mchele, mahindi na maharage yapo ya kutosha Mwaka mzima hadi mavuno tena.....lol...
 
OK kumbe hela yaishia huku. Sisi tunakula ugali mandondo kila siku kumbe kaka alikuachia mihela kibao. Ngoja arudi ntamwambia tu labda na mimi unikopeshe sitosema!
 
hahahaah.... Jamani msiniue pesa nimerudisha.... Kaka yenu mbona anajali saana nyumbani? Au tu ndo watafuta njia ya kuhakikisha nikugaie... kama unataka wee omba tu mie nitakupa....lol
 
Mi nkopeshe efu hamsini yantosha!
 
Back
Top Bottom