CHONDE CHONDE RUDISHENI MADENI & Pesa ZOOOTE!! Wataniua Jamani……

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,080

Habari wana JF.....
:eyebrows:

Iko hivi… Hapa JF nafanya biashara ya kukopesha pesa za akiba za familia ambayo ni joint account kwa members wa JF alafu wanalipa na riba kidogo. Nikiwa mama wa Nyumbani hio ni moja ya njia rahisi ya kujiongezea kipato bila mzee kujua. Well yalo nikuta ni kuwa Mwezi jana baada ya Kukomba pesa kwenye account nimekopa Laki 7 kwa hawa wadau wa mikopo mitaaani nikazikopesha kwa wana JF wengine kwa dau kubwa zaidi , Nikitarajia wana JF watanilipa pesa zangu within time kilichotokea wadau wananikwamisha kwa visingizio kibao! Jamani Jamani….. Wametishia weekend hii kuja safisha kila kitu kwenye nyumba yetu ya ghorofa tatu na kuchukua kila kitu!

JAMANI…. Kumbukeni humo ndani thamini ni kubwa mno ya vyombo kuliko deni….. Mtanisamehe kwa kuwaaanika…… Nawaomba wooote ninao wadai rudisheni pesa ASAP. Na kuhakikisha zoezi laenda nataja majina na Deni. Mtanisamehe kwa kuwaanika…. Undugu pembeni kwanza…. Nahakikisha namaliza soo bila Sweetie kujua kabisa lililojiri…. Hii thread by default inasomeka King’asti ndo kapost.

WANAWAKE

First Lady.................. 345,000/=

Sweet Lady ................ 700,000/=

Mwali ..................... 200,000/=

BelindaJacob ............... 150,000/=

Roulette ................... 79,000/=

Cantalisia .................. 399,999/=

Chauro ..................... 100,000/=

Smile........................ 2,000,000/=

Black womani........................ 70,000/=

Kabakabana .................. 50,000/=

Husninyo .................... Nimekusamehe umefanya kazi nzuri lol

Preta ....................... 150,000/=

Mayassa ..................... 468,989/=

Mwanajamiione ................ 320,000/=

Michelle ....................... 76,000/=

Mamndenyi ...................... 320,000/=

Obsesed ....................... 100,000/=

WANAUME

MTM .......................... 1,000,000/=

Rev Masanilo .................. 750,000/=

Invisible ...................... 950,000/=

Rejao .......................... 500,000/=

RR ............................. 350,000/=

Mtambuzi ........................ 100,000/=

Ndetichia ........................ 568,000/=

Ndahani ........................... 850,000/=

Nyani Ngabu ...................... 3,200,000/=

Kivumah ........................... 650,000/=

Boss ............................... 20,000/=

MAMMAMIA ........................... 300,000/=

Finest ............................. 500,000/=

Paka Jimmy ......................... 250,000/=

X-Paster ................................................... Yaani naogopa hadi kutaja.... Dah!

Klorokwin & Uporoto .................. 3,000,000/= (Msishangae! Riba hio)

Nina mwanasheiria wangu kabisa hapa namely WoS akisaidiana na EMT….. nimewakodi baada ya kugundua JF lawayer Kloro kanitapeli nae. Nina body guard wangu hapa wawili namely Ritz na Kongosho…. Hivo hamnibabaishi….. Hapa karibu pia nina Darling shem akiwa na short gun kwa yeyeote atae resist….. Of coz haruhusiwi kuua ila kujeruhi tu!

P.S.

Kwa wale ambao sijawataja…. Naomba msijifariji. Sema tu siku yenu ya malipo bado…. Na wengine mmeshatoa taarifa kua mtalipa kabla ya weekend.

Of couse…. Niliwa Miss saaana…. Ila dawa ya deni ni kulipa!!!!!

Pamoja Saaana.

ADI.

Hahahahaaaaaa! Uwiiiiii nafwaaaaaaa!...lol.

Wifi ujue hujaniaibisha mimi ila umemwaibisha kakako na utajuta kuzaliwa nae tumbo moja...daaah we ni noma.
 
Kweli mabox noma...yaani nadaiwa milioni tatu na laki mbili? Gademu....Superman walahi utanibeba leo. Nakuja kuchukua mkwanja wangu nimlipe ADI..
Akikulipa tafadhali nikopeshe na mimi nimlipe AD, nikishinda jf woman of the year 2012 nakulipa!
 
Kweli mabox noma...yaani nadaiwa milioni tatu na laki mbili? Gademu....Superman walahi utanibeba leo. Nakuja kuchukua mkwanja wangu nimlipe ADI..

NN nakuamini katika kupata kile utakacho..... Do WHAT EVA! But I need my MONE NOW!!!!!! Nina hasira ujue..... Huyo Superman usimchekee kabisa!
 
Hahahahaaaaaa! Uwiiiiii nafwaaaaaaa!...lol.

Wifi ujue hujaniaibisha mimi ila umemwaibisha kakako na utajuta kuzaliwa nae tumbo moja...daaah we ni noma.

Nimemfuata kaka Cookie kama ilivo kawaida ukikopa pesa kwangu ama bidhaa..... KAGOMA! Kasema saizi ahusiki!! Hivi wifi umesoma lakini mahala nimesema undugu pembeni?? Ohooooo! lol
 
Afadhali mie haukunianika AD, kesho nitakutumia kwa m-pesa.

Uzuri wako Scofield wewe ni Mwaminifu..... Hakikisha ukituma kwa njia ya Mpesa Uongeze na Elfu 10 ya makato kwa mie ambae natoa kwa wakala.... Si wajua dau la 1 Milllion ni elfu 10?
 
Nimemfuata kaka Cookie kama ilivo kawaida ukikopa pesa kwangu ama bidhaa..... KAGOMA! Kasema saizi ahusiki!! Hivi wifi umesoma lakini mahala nimesema undugu pembeni?? Ohooooo! lol
Nimesoma wifi, wacha niwasiliane na mke mwenza kama anaeza nikopesha japo kidogo, si utapokea hata nusu kwanza wifi?,...na kakako asifike nyumbani leo, hasira zote za kuniaibisha nazimalizia kwake lol..
 
Uzuri wako Scofield wewe ni Mwaminifu..... Hakikisha ukituma kwa njia ya Mpesa Uongeze na Elfu 10 ya makato kwa mie ambae natoa kwa wakala.... Si wajua dau la 1 Milllion ni elfu 10?
Usijali nitaweka 20 kabisa ili siku ingine nipate kiulaini.
 
Hahahahaaaaaa! Uwiiiiii nafwaaaaaaa!...lol.

Wifi ujue hujaniaibisha mimi ila umemwaibisha kakako na utajuta kuzaliwa nae tumbo moja...daaah we ni noma.
Hahahahaaa naona umelia KIGOGO....Hahahahaaaaaaa sikufwaaaa nokutaza mdala....
 
Nimesoma wifi, wacha niwasiliane na mke mwenza kama anaeza nikopesha japo kidogo, si utapokea hata nusu kwanza wifi?,...na kakako asifike nyumbani leo, hasira zote za kuniaibisha nazimalizia kwake lol..

hahahaha..... Wewe na kaka mtajuana wenyewe.... Mimi mwenyewe niko kuhakikisha hili jambo halijafika kwa kakako.... Sijui itakuaje!!!

Alafu kama unategemea hio pesa toka kwa King' umeula! Katoka kunilipa Laki 5 kati ya 8 ninazo mdai.... Umepata picha hapo?:biggrin:
 
Hahahahaaa naona umelia KIGOGO....Hahahahaaaaaaa sikufwaaaa nokutaza mdala....

Erickb nashukuru broda.... Yale magunia 50 ya mchele badala ya pesa nimeyapata..... ubaraikiwe....lol
 
Hehehehehe! Walipe bwana, ndio maana aunt mnanipunja hela ya matumizi kumbe umekopesha watu.
 
Erickb nashukuru broda.... Yale magunia 50 ya mchele badala ya pesa nimeyapata..... ubaraikiwe....lol
Hahahahaaaa bora mi nimeshayalipa....hivi Nitonye Humdai kweli zile cret za Banana alizokopa?
 
Back
Top Bottom