Chonde Chonde CHADEMA, pelekeni wabunge bungeni. CCM wanajuta hata kuwapa hizo idadi ya kura iliyowafanya mpate nafasi 19

la la land

Member
Apr 26, 2017
26
75
Nimemuona Musiba naye anasema angekuwa Waziri wa Mambo ya ndani angewaita Wapinzani akae nao meza moja maana nchi ni yetu sote. Nikikumbuka comments zako wakati wa kampeni nikalinganisha na haya unayosema Leo naona maruweruwe.
Nashangaa watu wanavyo hangaika kumjibu hapa wakati huyu katumwa. Bora angekuja kwa ID tofauti.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
11,292
2,000
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Tafadhari usiiamulie CCM na NEC walitaka kuhodhi bunge sasa wamepata wasianze kugawa mifupa iliyowashinda. Chadema ikipeleka hao wabunge Ndugai atavunja kanuni zote za bunge na vikao vitakuwa ni vya kuisimanga Chadema kwa fadhila waliyopewa.
 
Kiyawi

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
1,875
2,000
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.

Ni muhimu mno kupeleka hao wabunge 19 bungeni kwa faida ya WaTanzania wote. Msipowapeleka mtajutia hapo mbeleleni. Mfano kama Rais Magufuli angalikataa kuwa waziri mdogo halafu waziri katika serikali zilizopita je! angalikuwa na mwanya wa kuchukua fomu kuomba apitishwe na CCM ili awe Rais wa Tanzania? you have to fight from within and NOT without.

Maalim Seif alifanya kosa hilo kipindi cha Rais Dr Shein, eti kwa sababu kakosa urais na wote wakose haki ya kuwakilisha wananchi bungeni yaani “TUKOSE SOTE”!!! It is absurd and egoistic. Pelekeni majina ya hao 19 wawe ndani ya bunge la sivyo 2025 chama hakitakuwa na nguvu kwa wananchi na hakuna atakayekiunga mkono tena.

Tatu hawa wabunge wa kuteuliwa 19 wao na familia zao watakuwa na uhakika wa kipato (income) kwa miaka mitano ijao na kiinuwa(pension) ya kutosha kuishi na ari ya kutetea chama kwa miaka mitano.
 
Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,125
2,000
Ni muhimu mno kupeleka hao wabunge 19 bungeni kwa faida ya WaTanzania wote. Msipowapeleka mtajutia hapo mbeleleni. Mfano kama Rais Magufuli angalikataa kuwa waziri mdogo halafu waziri katika serikali zilizopita je! angalikuwa na mwanya wa kuchukua fomu kuomba apitishwe na CCM ili awe Rais wa Tanzania? you have to fight from within and NOT without. Maalim Seif alifanya kosa hilo kipindi cha Rais Dr Shein, eti kwa sababu kakosa urais na wote wakose haki ya kuwakilisha wananchi bungeni yaani “TUKOSE SOTE”!!! It is absurd and egoistic. Pelekeni majina ya hao 19 wawe ndani ya bunge la sivyo 2025 chama hakitakuwa na nguvu kwa wananchi na hakuna atakayekiunga mkono tena. Tatu hawa wabunge wa kuteuliwa 19 wao na familia zao watakuwa na uhakika wa kipato (income) kwa miaka mitano ijao na kiinuwa(pension) ya kutosha kuishi na ari ya kutetea chama kwa miaka mitano.
Well said tatizo hawana Focus kabisa. Hawaproject future.Kweli wapinzani wengi wanaangalia wakati ulipo tu.They dont think and analyse. Walitakiwa waangalie wasipopeleka wabunge watapata faida gani ?Ni hasara tupu.
 
A man with no name

JF-Expert Member
May 7, 2017
820
1,000

Tatizo lako dada umekaa kishabiki
 
Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,125
2,000
Wakiwapeleka wanapata faida gani
Watatoa hoja,watawakilisha matatizo ya wananchi.Na kutokana na wao kuna matatizo ya wananchi yatakuwa solved. MAANA WAO WATATOA HOJA KWELI KWELI,AS HAWANA haja ya kumuogopa Magufuli. Wataikosoa serikali in out bila uwoga wowote maana ndani ya bunge wana kinga. Huku nje Magufuli kuanzia kesho anapiga spana tena siasa hadi 2025.
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,997
2,000
Acha kuhangaika kuwaza vitu ambavyo haviwezekani. Kwa sasa wamepata viti 19 waende bungeni. Watakuwa wanatoa hoja walau zitaifanya serikali isijione ipo sawa asilimia 100.

Hivyo viti 19 Chadema imevikataa, sasa kama huridhiki na maamuzi yao kamchuke Ester Bulaya (role model wako) muende huko bungeni kulalamika.
 
The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,347
2,000
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Raisi amesema tusimchanganyie- Ngoja akae na ccm yake ili watulee maendeleo!!
 
A man with no name

JF-Expert Member
May 7, 2017
820
1,000
Watatoa hoja,watawakilisha matatizo ya wananchi.Na kutokana na wao kuna matatizo ya wananchi yatakuwa solved. MAANA WAO WATATOA HOJA KWELI KWELI,AS HAWANA haja ya kumuogopa Magufuli. Wataikosoa serikali in out bila uwoga wowote maana ndani ya bunge wana kinga. Huku nje Magufuli kuanzia kesho anapiga spana tena siasa hadi 2025.
Simlsema wapinzani wamechelewesha maendeleo ndiyo maana mkafanya uchafuzi badala ya uchaguzi sasa why mnajitekenya na kucheka wenyewe
 
Mikono yenye Sugu

Senior Member
Jul 1, 2020
133
250
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.

Ndugu naomba kutofautiana nawe kwa heshima. Mimi nadhani Bunge la CCM liendelee kwani kuwepo wapinzani kunaiongezea serikali mzigo mwingine wa gharama za kuwanunua wapinzani hao ili "kuunga mkono juhudi". CCM wapewe zawadi ya kuwa na Bunge ambalo ni kamati ya chama sawia.
 
Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,125
2,000
Simlsema wapinzani wamechelewesha maendeleo ndiyo maana mkafanya uchafuzi badala ya uchaguzi sasa why mnajitekenya na kucheka wenyewe
Achaneni na lugha ya kisiasa ya Magufuli. Ingekuwa wapinzani wanachelewesha maendeleo,Nyerere alikuwa peke ya na bunge la chama kimoja miaka 20+ Ila mpaka anaondoka hakuna maendeleo yeyote.
 
A man with no name

JF-Expert Member
May 7, 2017
820
1,000
Achaneni na lugha ya kisiasa ya Magufuli. Ingekuwa wapinzani wanachelewesha maendeleo,Nyerere alikuwa peke ya na bunge la chama kimoja miaka 20+ Ila mpaka anaondoka hakuna maendeleo yeyote.
Kama unatambua hilo inakuwaje unakubaliana na ufedhuli na uchafuzi ulio fanywa na ccm ila msijali pole pole mtafika mnapotaka tufike
 
Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,125
2,000
Kama unatambua hilo inakuwaje unakubaliana na ufedhuli na uchafuzi ulio fanywa na ccm ila msijali pole pole mtafika mnapotaka tufike
Kwa hiyo kumbe nyie hamuitakii mema nchi. Toeni vyama wekeni Tanzania mbele. Nendeni bungeni kwa sababu ya Tanzania na siyo kutokwenda sababu ya CCM.Fikirieni mkiwa mmetuliza akili huku mkiweka mbele maslahi ya Tanzania/Wananchi.
 
A man with no name

JF-Expert Member
May 7, 2017
820
1,000
Kwa hiyo kumbe nyie hamuitakii mema nchi. Toeni vyama wekeni Tanzania mbele. Nendeni bungeni kwa sababu ya Tanzania na siyo kutokwenda sababu ya CCM.Fikirieni mkiwa mmetuliza akili huku mkiweka mbele maslahi ya Tanzania/Wananchi.
Ungekuwa waitakia mema Tanzania sidhani kama muda huu ungesimama upande was shetani na kutetea kwa nguvu na akili zako
 
ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
5,421
2,000
Chadema msipeleke hao wabunge ili huku mtaani kila mtu apambane na hali yake kwani lazima kuwasemea watu ambao hawawataki? sioni haja anaetaka kwenda aende
 
Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,125
2,000
UngekuwA Tanzania sidhani kama Leo hii ungethubutu kuwaeleza CDM wapeleke wabunge was viti maalumu bungeni baada ya madhila yote yaliyotokea bara na visiwani vile demokrasia ilivyo lawitiwa
Hivi wakibaki nje watagain nini ?Kuandamana hawawezi,kusema hawawezi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom