la la land
Member
- Apr 26, 2017
- 69
- 115
Nashangaa watu wanavyo hangaika kumjibu hapa wakati huyu katumwa. Bora angekuja kwa ID tofauti.Nimemuona Musiba naye anasema angekuwa Waziri wa Mambo ya ndani angewaita Wapinzani akae nao meza moja maana nchi ni yetu sote. Nikikumbuka comments zako wakati wa kampeni nikalinganisha na haya unayosema Leo naona maruweruwe.