Chonde Chonde CHADEMA, pelekeni wabunge bungeni. CCM wanajuta hata kuwapa hizo idadi ya kura iliyowafanya mpate nafasi 19

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,916
2,000
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Hata mimi napenda sana wangeenda ila nafsi inanisuta kwamba kuna watu wamekufa,watu wametiwa ulemavu wa kudumu,watu wamepotea,,watu wapo ndani(chechela,segedansi,nondo,gereza,inside,ndichi,ngome,lupango) kwasababu ya huu uchafuzi haramu.

Kitendo cha kwenda bungeni ni dhahiri chadema watakuwa wamekubali kwamba uchaguzi ulikuwa halali,ningependa makamanda espicially madada zetu wakubali kupoteza kujijengea heshima,kuna maisha zaidi ya kuwa mbunge!! ebu oneni kina Wenje walinyang'nywa ubunge lakini bado yupo strong.

Kina Halima,Bulaya,Matiko msiingie kwenye mtego wa Bashiru na mashinji....Ndugai,Teeth,policcm,neccm washameza ndoano waache wapaparike,wameiba kura bila kutumia formula.
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,782
2,000
Kuna nafasi 19 mmepata. Nendeni mtajutia hizi nafasi msipokwenda. Tunamuhitaji sana dada Esther Matiko hoja zake ni muhimu sana kuliko wabunge 200+ wa CCM. Kweli Chadema mnataka kumziba mdomo Esther kwa miaka 5 ?Maana huku nje hataweza kuongea. Mpelekeni bungeni akaendelee kumkera Magufuli na genge lake.
CDM hawajajua umuhimu wa hzo nafasi
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
20,782
2,000
M

Wote kimya....skilizeni, skiza....
Kwakuwa Chadema mawethibitisha hawaendi....skilizieni kwanza wakikaza kbsaaaaa.....watokeee wajanja kadhaaa walemavu wa ngozi na viungo na wanawake kadhaa wenye uwezo wa kujenga hoja waende kwa spika wamwambie spika kuwa wao wana sifa za kuwa wabunge wa JMT na wameona kukosekana kwa wabunge wa upinzani si jambo jema na hivyo kwa uzalendo wao wanaona waje kujaza hizo nafasi ili nchi izidi kuwa on the right traki.......

Get rich or die trying.....

thank me later.....
Think like your oppponent and win the war......

Senior JF Inspirational Speaker...

haaaaa
Uko sahihi
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,118
2,000
Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni. Kumbukeni tu mnakwenda kupigwa kufulo huku nje kwa muda wa miaka mitano
Hili la msingi sana. Kugoma kuingia bungeni then kuhamia Tweeter na JF kutema povu na kulalamika sidhani kama ni jambo sahihi. Aida kaonyesha njia. Aungwe mkono
 
Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,125
2,000
Hili la msingi sana. Kugoma kuingia bungeni then kuhamia Tweeter na JF kutema povu na kulalamika sidhani kama ni jambo sahihi. Aida kaonyesha njia. Aungwe mkono
Kabisa.Hata mimi namuunga mkono Aida. Kwani ilikuwa achaguliwe then eti asiende?Kama hawakuwa na nia ya kuingia bungeni basi wasingeshiriki kabisa uchaguzi.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
12,898
2,000
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Ccm ndiyo wanawapa kura cdm? Mi nilidhani ni wananchi
 
sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
4,648
2,000
Hii itasaidia nini Taifa letu. Acheni kuzira kupigania maslahi ya nchi si mchezo. Mnatakiwa muwe na ngozi ya mamba.
Ccm c mnasema wapinzani wanachelewesha maendeleo , sasa wa nn , unataka waende ili waendelee kuchelewesha maendeleo ,
Sisi tunataka Tanzania yote iwe Kama calfonia sasa Kama milivyokua mnajinasibu kwenye kampeni
 
sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
4,648
2,000
Kuandamana mmeshindwa,kwenda bungeni hamtaki. Basi Chadema subirini kupotea tu kama kile chama kilikuwa Cha Mrema.
Kwani ww kinauuma nn, mbona unaonekana unaumia na vitu ambavyo havina faida na ww ,
Kwan upinzani ukifa c ndio furaha ya ccm ,nashangaa ww unaumia
 
Teamanaconda

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
529
500
Mimi kama mwanaccm kindaki ndaki nasema ya kwamba wapinzani bungeni walikuwa wanatucheleweshea maendeleo kwa muda wa miaka mitano,hata hao wa viti maalumu wakija watazidi kucheleweshea maendeleo zaidi,mimi maoni yangu tubaki peke yetu bungeni ili nchi isonge mbele,
 
IJM2020

Member
Jul 28, 2018
23
45
Kiduanzi unamaanisha nini ?Miaka yote tokea niwaanze kuwafahamu 2010 mlisema mmeibiwa na hamkuutambua uchaguzi ila bungeni mlikwenda. 2015 hamkuutambua uchaguzi ila bungeni mlienda. 2020 mmekataa kwenda bungeni au kwa vile Magufuli kachinja mbowe ?????.
Ndio
 
IJM2020

Member
Jul 28, 2018
23
45
Kwani mnafikiri CCM wanakosa usingizi kwa sababu nyie hampeleki wabunge ?Kwa taarifa yako wanajuta hata kuwapa hiyo idadi ya kura zilizofanya mpate nafasi. Na mwenyekiti CCM anatamani msipeleke wabunge. Na alivyo juu ya sheria hizo nafasi 19 zitajazwa na wabunge wa CCM.
Waache wajaze
 
msokela

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
618
500
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Mimi binafsi naona Bora wasipeleke wabaki wa ccm tu.wajipange 2025
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom