Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,497
- 40,157
Kama hawaweki info maana yake wanatuaminisha ni kweli.Tunarudi palepale. Unatumia vigezo gani kusema unadanganywa? Kitu kikiwa comp gen kinakuwa ni uongo? Kwa vigezo vp?
Ni wewe pekee unayewatetea
Kama hawaweki info maana yake wanatuaminisha ni kweli.Tunarudi palepale. Unatumia vigezo gani kusema unadanganywa? Kitu kikiwa comp gen kinakuwa ni uongo? Kwa vigezo vp?
Mimi hilo jibu sijaliafiki. Speed haizuii nguvu za sumaku mvutano
Mku kwamba Joto linazalishwa zaidi pale unapolisogelea jua zaidi[emoji848][emoji848]Mwaka 2018 Marekani walirusha chombo kuelekea anga za mbali katika harakati za kwenda karibu zaidi na jua , umbali ambao haukuwahi kufikiwa na chombo chochote kile duniani
Umbali wa miles millioni 4 chombo cha Parker solar probe kilisogelea jua na kuanza kuzunguka kwa ukaribu wa eneo hio huku kikifanya chunguzi mbalimbali za kisayansi ambazo zitakuja kutusaidia kuweza kulifahamu jua kwa undani zaidi
Nadhani unaweza ukajiuliza kitu au vitu vingi kuhusu uimara wa chombo na kuweza kuhimili joto kali linalozalishwa na jua letu
Chombo kimetengenezwa na material magumu kwa mbele ambayo yamefungwa madini ya aina ya carbon kwa mbele ambayo yanauwezo wa kuhimili mpaka joto la 2500 c na bado wakaweka mfumo wa kupoza vifaa vingi vilivyopo kwa nyuma na kwa ndani vifaa vyenyewe ni kama.computer na kamera ili zisiweze kupata joto la kuweza kuivisha vyombo hivyo
Baada ya kufika katika umbali huo basi chombo cha parker solar proble kiliongezeka kasi na mpaka kufikia kasi ya 200 kwa sekunde moja au 692,000 kilomita kwa lisaa ambapo kwa kasi hiyo chombo hakikuweza kuvutwa yaani kiliweza kupambana na kani ya uvutano wa jua letu na kama ingetokea kasi hiyo kutokufikiwa basi chombo kingepotea
[emoji625]Moudyswema [emoji625]Tanzaniascienceyetu [emoji625]AsteonomyKiswahiliView attachment 2507368
Hawaweki info wapi? Ni wapi ulipowafatilia ukahitimisha hakuna info?Kama hawaweki info maana yake wanatuaminisha ni kweli.
Ni wewe pekee unayewatetea
Mkuu na wewe unaamini kuwa Jua linatoa joto au light energy?Eti kuna chombo kinaweza kulisogelea jua, sidhani kama kuna binadamu anaweza kupima joto/moto wa jua. Hizi ni kamba babu kubwa
Ndio, wewe unaamini nini?Mkuu na wewe unaamini kuwa Jua linatoa joto au light energy?
Ahsante kaka umejibu vema sana [emoji122][emoji122]Mkuu fahamu Msanii anafahamu dhima na deep knowledge ya sanaa pia hajaishi mbali na ulimwengu wa dijitali. Umeongelea zeros and ones yaani binary numbers ambazo ndo tafsiri ya kila tendo, text, picha, sounds ndani ya mfumo wa kompyuta......
Mada imekuja na picha. Picha haijawekwa label kuwa ni illustration au kielelezo sasa ulitaka sisi tutafsiri kuwa ni comp-gen image?
Na wewe unaamini kabisa kuna chombo kinaweza kulisogelea jua na kikabaki salama??Hata ukiletewa ushaidi wa Video utasema ni editing..
Wewe ata ukiletewa video ikionyesha wanasayansi wa marekani wametua kwenye jua utaamini ilimladi tu iwe imesemwa na marekani🤣🤣Hata ukiletewa ushaidi wa Video utasema ni editing..
Sio kweli. Wao ndio wamekudanganya uamini hivyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jinsi unavyo sema hilo neno "uwongo" utadhani unafahamu hata meseji yako imefikaje humu jf.
Hao unao waambia waongo ndio wanao kufanya uongee na mjombaako mkoani wakati wewe upo kimbiji.
Kibali tu kwamba binadamu tunazidiana akili kwa mbali sana mkuu [emoji1787][emoji1787].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jinsi unavyo sema hilo neno "uwongo" utadhani unafahamu hata meseji yako imefikaje humu jf.
Hao unao waambia waongo ndio wanao kufanya uongee na mjombaako mkoani wakati wewe upo kimbiji.
Kibali tu kwamba binadamu tunazidiana akili kwa mbali sana mkuu [emoji1787][emoji1787].
Kuna tofauti kati ya heat na temperature, na hicho ndicho kimeweza kufanya hicho chombo kisurvive kwenye sun atmosphere. By the way kiko kwenye anga la jua na si jua lenyewe.Eti kuna chombo kinaweza kulisogelea jua, sidhani kama kuna binadamu anaweza kupima joto/moto wa jua. Hizi ni kamba babu kubwa