KEMPANJU BOY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 508
- 1,255
Wabongo sisi shida! Aliyekwambia jua lina joto kali sana na ukaamini lakini akikwambia ametengeneza jombo cha kulisogelea hilo jua unaleta ubishi kwamba ni uongo utafikiri wewe unafahamu hata angalau simu yako inavyofanya kazi!
Hatujiulizi aliweza vipi kupima Jotolidi la jua kama hawezi kulisogelea? Na aliweza vipi kutambua components/elements ziundazo jua kama hawezi kulifikia. Sisi hata katiba ya inchi imetushinda lakini tunashupaza shingo kuwakosoa NASA wakati hata introduction tu ya elimu ya anga za mbali hatuna.