hauna T-bone nzuri
napenda sana kwa BBQ
Ila iwe soft, kama ulineba kuni sana na kukimbiza swala
nyama inaweza kuwa ngumu
ikakung'oa meno bure
I looove CHOCOLATE!! Chips kitu gani bana..
eti li mtu linakuletea chips kwenye kifurushi.....khaaa....
Sirloin na Rib eye hutaki....?
nina uwezo wa kukupapia mpaka ushangae.....
ribs nataka, sirloin another time.
Una ka mbege pia japo ka suna?
naogopa wewe ni kichwa panzi....nikikupa kimaroro utawehuka......nitakupa mlongo....sijaiweka hata msesewe.....
Mi sijui nikoje, sipendi chocolate kabisaaaaa. I just don't like it!
Halafu hua nashangaa watu wanapenda kunipa chocolate!
Pia niko makini kiasi na ninacho kula, so sipendi chips (labda nipike mwenyewe)
Ngoja mie nimuulize my wife Husny , angependa nini !
Na umejuaje kama leo ni siku yangu ya kukumbukwa ? Mpaka ukaleta thread kama hii ?
Hivi chips kuku unafunga kwenye gift box, kweli tembea uone.
Hivi kumbe?hahahaha. Mi sipendi tu vitu vyote vya sukari sana.Mwali Mwali....kwa nini hupendi chocolat....je suis gourmande(Roulette njoo rescue hapa)....mimi ukitaka kunipollonium utanipata huko....
Deskmate! najua kile unapenda lakini nitakushtua class. lolHivi kumbe?hahahaha. Mi sipendi tu vitu vyote vya sukari sana.
Ma cake, pastries zote, soda na mengine... kwa kweli simo kabisa!
Napenda salty snacks zaidi, na matunda. Napenda sana matunda,
Hata nikiwa class namenya chenza nakula, au hembe (natembea na ka Swiss knife)
Hivi kumbe?hahahaha. Mi sipendi tu vitu vyote vya sukari sana.
Ma cake, pastries zote, soda na mengine... kwa kweli simo kabisa!
Napenda salty snacks zaidi, na matunda. Napenda sana matunda,
Hata nikiwa class namenya chenza nakula, au hembe (natembea na ka Swiss knife)
Hahahahaha, hata kabla hujasema nimesha anza kucheka hapa... Nambie basi pole pole Preta asiskiiDeskmate! najua kile unapenda lakini nitakushtua class. lol
Well, matunda yote tu. As a matter of fact nakula pears hapa as naandika huu mstari. Karibukwa hiyo hata peazi unapenda..? na pera...?
heheeh nitakunong'oneza lakini siyo apa bwana lolHahahahaha, hata kabla hujasema nimesha anza kucheka hapa... Nambie basi pole pole Preta asiskii
.
Kha! na ni kitu gani hicho hutaki preta aseme kwa mama?heheeh nitakunong'oneza lakini siyo apa bwana lol
Hapa Preta ataenda kusema kwa mama
nyota lol, nina mpango wa kumuibia mtu ili nikamilishe.Kha! na ni kitu gani hicho hutaki preta aseme kwa mama?
Kweli nyota tamu kuliko chumvi na sukari. lolnyota lol, nina mpango wa kumuibia mtu ili nikamilishe.
Nilijua tu, na haiko mbali, trust me (am talking abt legal one) lol.Kweli nyota tamu kuliko chumvi na sukari. lol