Chizi aliyetajwa na Slaa ndio huyu

Chizi aliyetajwa na Slaa ndio huyu

Asset haikutosha
Liability pia haijatosha
Kujiuzulu ndio ustaarabu kama mtu hawezi kutekeleza maamuzi halali.

Asset =capitat+liability,asset and liability si vitu tofauti bali liability iko ndani ya asset kwa maana hiyo hata dr kachemka
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.,na sis tunasema,whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not ccm only. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyee,,

sasa mkuu,masela wachache watamshindisha vipi lowasa?,
hizo nyomi za mijini zina tofauti ipi na za magufuli ...
 
nikweri lakini wetu loooowasa
tunachotaka ccm dauni ndo lengoletu
Khaa Nyie kina nani?
A%20S%20shade.gif
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.,na sis tunasema,whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not ccm only. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyee,,
Khaa!! Taratibu rangi zenu halisi zinaanza kuonekana. Hadi ikifika 25 Oct wapigakura tutakuwa tumewajua vizuri
A%20S%20shade.gif
 
Hoja za kipumbavu kabisa, Eti mtaalamu wa kuiba kura!! Vichekesho hivi!!
duuh tupate na wataalam wa gesi mafuta madini na kutengeneza nyumbu basi sio kila siku sifa za kijinga
mara mtaalamu wa kuiba kura mara mtaalamu wa kikombe....!!!!!!!!!!!!!!
 
CCM wanalia sana kwa Chizi na Mahanga kuondoka.... Hawa ndio magwiji wa kuiba kura hapa Tanzania.... Pamoja na Masaburi
 
Huu umati c ndio ulisema raisi wao ni .........


10.jpg


4.jpg

kampeni za kijiji kwa kijiji....
wakazi wa kijiji kidogo cha Nandembo wakiwa wamejazana barabarani kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi.

18.jpg


Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Songea mjini waliofurika kwenye uwanja wa Maji Majikumsikiliza wakati wa kujinadi kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

 
kama ni mchafu basi alikuwa mchafu toka kipindi akiwa ccm. sasa ni kwann ccm hawakumtuhumu kipindi akiwa kwao? taharifa za upotoshaji hazina nafasi tena masikioni mwa watanzania
 
Hata majambazi hustaafu na kuungana na Polisi sio kwa kuwa mapolisi bali kuwasaidia kwa kuwapa mbinu zinazotumika katika ujambazi. Dr Slaa got it wrong. Huyu haja chukuliwa kuja kusaidia kuiba kura bali kueleza mbinu ambazo CCM hutumia kuiba kura. For a record anaitwa Matson Tchizi
 
huyu kweli chizi..hahahahaha wasio jielewa wote,mafisadi wote wameungana na chizi hatari..kwahiyo chadema imegeuka waibaji kura?tuna ipeleka wapi siasa yakinifu ya chma cha demokrasia na maendeleo
 
Back
Top Bottom