Chizi aliyetajwa na Slaa ndio huyu

Chizi aliyetajwa na Slaa ndio huyu

10.jpg

4.jpg

kampeni za kijiji kwa kijiji....
wakazi wa kijiji kidogo cha Nandembo wakiwa wamejazana barabarani kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi.

18.jpg

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Songea mjini waliofurika kwenye uwanja wa Maji Majikumsikiliza wakati wa kujinadi kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

Hivi yule wa upande wa pili anaweza kweli kuzunguka kijiji kwa kijiji kama Dr. Magufuli?

Twende na Dr. Magufuli ikulu.
 
Ni kweli gari limewaka na limeondoka, lakini hilo gari linaelekea korongoni tena kwa kasi ya ajabu likiwa halina break na dereva wake amelewa mbaya. Dr Slaa anawatahadharisha abiria waliopanda hiyo gari, wenye kuruka wataruka, wasio taka kusikia ni msiba mkuu kwao.
 
Kwa hiyo Chadema mwaka huu nao wataiba kura?

Wanaweza kutumia maarifa toka Chizi kuthibiti wizi was kula. Huwezi kupambana na uhalifu km hujui unavyofanyika! Waulize wanaosoma criminology watakueleza.
 
Wanaweza kutumia maarifa toka Chizi kuthibiti wizi was kula. Huwezi kupambana na uhalifu km hujui unavyofanyika! Waulize wanaosoma criminology watakueleza.

cdm na ccm wanajua kabisa chizi hawezi kuiba kura akiwa cdm, aliweza kuiba akiwa ciciem kwa sababu tume ni ya ccm sio tume huru. Huwezi kuiba kura bila kushirikiana na tume. Ila anafaa sana kuwapa ushauri ukawa jinsi ya kulinda kura zao, sasa nimeanza kuelewa kwa nini lowasa anasema sisiemu hodari wa kuiba , mwaka huu ni namba tu zitaongea etc kumbe organisers wa kuiba kura wame kataa safari hii wamesema yatosha!hatumiwi mtu mwaka huu anayetaka kuiba aende mwenyewe
 
Asset =capitat+liability,asset and liability si vitu tofauti bali liability iko ndani ya asset kwa maana hiyo hata dr kachemka

siyo lazima asset kuwa na liability ndani yake! Liability ikiwa zero, asset= capital, kwa maana rahisi asset ni rasilimali halaf liability ni madeni! Maana ya equation ni kwamba mali hzo zinaweza kutokana na mtaji ulionao pamoja na madeni/mikopo!
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.,na sis tunasema,whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not ccm only. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyee,,
 
10.jpg

4.jpg

kampeni za kijiji kwa kijiji....
wakazi wa kijiji kidogo cha Nandembo wakiwa wamejazana barabarani kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi.

18.jpg

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Songea mjini waliofurika kwenye uwanja wa Maji Majikumsikiliza wakati wa kujinadi kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

Hizo barabara za udongo na vumbi ndio barabara alizojenga Pombe Magufuli na ndio maendeleo ambayo CCM imepeleka huko vijijini?

"Watanzania ni kichwa cha mwendawazimu."

Huko amewapa ahadi ipi? Au ametoa ahadi zipi?
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.,na sis tunasema,whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not ccm only. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyee,,
Receive big LIKE ✌🏿️
 
Hizo barabara za udongo na vumbi ndio barabara alizojenga Pombe Magufuli na ndio maendeleo ambayo CCM imepeleka huko vijijini?

"Watanzania ni kichwa cha mwendawazimu."

Huko amewapa ahadi ipi? Au ametoa ahadi zipi?

Vijiji vumbi mpaka kwenye mapaa ya nyumba, Kasema atapunguza bei ya sementi, na mabati...sijui tangu lini raisi akapunguza bei za vitu! Bei zinajiadjust zenyewe kuendana na supply na demand!
 
Asset =capitat+liability,asset and liability si vitu tofauti bali liability iko ndani ya asset kwa maana hiyo hata dr kachemka
tafute dictionary ucheki maana yake,usijichanganye na terminologies za uchumi.Dr yuko sahihi kabisa.Liability tunaitumia zaidi ktk mpira.Unamkumbuka Blackett wa Manchester United?yule tulikuwa tunamwita liability kwasababu kila akicheza lazima atafungisha.Carrick ni asset kwasababu kila anapocheza anaisaidia Manchester United kupata ushindi.Kama hujaelewa na hapo basi.
 
Vijiji vumbi mpaka kwenye mapaa ya nyumba, Kasema atapunguza bei ya sementi, na mabati...sijui tangu lini raisi akapunguza bei za vitu! Bei zinajiadjust zenyewe kuendana na supply na demand!

KWA KUONDOA KODI NA KUTOA RUZUKU(subsidy
) KM UJUI KALALE
 
Tena wale walinzi wa Slaa, ndo waje kumlinda huyu. Ni asset.
 
Kwa hiyo kumbe SSM ni wataalam wa kuiba kura? Kuumbe ushindi wenu ni wa wizi siyo? Sasa itafika wakati kuibwa mtashindwa. Yana mwisho haya.
 
Back
Top Bottom