Chizi aliyetajwa na Slaa ndio huyu

Chizi aliyetajwa na Slaa ndio huyu

Vijiji vumbi mpaka kwenye mapaa ya nyumba, Kasema atapunguza bei ya sementi, na mabati...sijui tangu lini raisi akapunguza bei za vitu! Bei zinajiadjust zenyewe kuendana na supply na demand!

Hapa umetudanganya kama tukiweza kuwa na viwanda vinavyozalisha kwa manufaa bei inaweza kushuka.
Na kama tarrifs zikipungua pia bei yaweza kushuka.
Pesa ikipanda thamani pia bei za bidhaa zinaweza kushuka.
 
Hapa umetudanganya kama tukiweza kuwa na viwanda vinavyozalisha kwa manufaa bei inaweza kushuka.
Na kama tarrifs zikipungua pia bei yaweza kushuka.
Pesa ikipanda thamani pia bei za bidhaa zinaweza kushuka.

Mambulula ni wengi sana humu. Ajui kwamba inflation or deflation is affected by cost push or demand pull.
 
Wanaweza kutumia maarifa toka Chizi kuthibiti wizi was kula. Huwezi kupambana na uhalifu km hujui unavyofanyika! Waulize wanaosoma criminology watakueleza.
DSC_0973.jpg
 
Chizii kesha Zeeka.. Dizaini ENL naye anategemea magumashi... Ingawa gemu bado mbichi... Ila mwisho wa siku CCM wanaludi madarakani... Kiurahisi saaaaana. Alafu huyo Dr slaa kama aliibiwa kura 2010... Mbona CCM bado ilikuwa na wabunge wengi?? Maana kuna uwezekano mkubwa mtu kumchagua mbunge na Rais wa chama kimoja.
 
Karibu chizi iba iba hata saduku zote na utuchagulie lowasa
 
Ni hatari sana kuwa na mwizi nyumbani kwako, anaweza kukuibia hata wewe!
 
Anaitwa MATSON CHIZI,NDIO JINA LAKE,SEMA LINATAMKWA CHIZII KUWEKA STAHA,LAKINI NI CHIZI TU,ALIKUA MKURUGENZI WA UCHAGUZI WA CCM KABLA YA KUONDOLEWA NA MZEE MANGULA ALIPORUDI LUMUMBA,NOW NDIO MWAKILISHI WA CHADEMA KWENYE MIKUTANO YOTE YA CHADEMA NA TUME YA UCHAGUZI,UKIFUATILIA VIDEO YA KIKAO CHA TUME NA VYAMA KUPANGA TAREHE NA MAHALI PA KUFANYA UZINDUZI KWA KILA CHAMA HUYU MZEE NDIO ALIIAMBIA TUME ETI CHADEMA HAITAKUA SEHEMU MAALUM SIKU YA UZINDUZI ITAKUA ENEO ZIMA LA DAR,KAULI AMBAYO KIDOGO ISABABISHE CHADEMA WAKOSE UWANJA WA KUFANYIA UZINDUZI WAO
mmekula nini mbona kila mtu anaropoka kivyake nape hivi,mwakyembe vile ,Lumumba ndo usiongee mwaka huu mtajing’ata hadi mikia yenu wenyewe

kaazi kwenu
 
Back
Top Bottom