Kwenye Chit Chat, ikitokea kumkwaza mtu, iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi, akilalamika unamtaka apunguze munkar, tupo Chit-Chat.
- Adui yako kwnye siasa anakuwa rafiki yako Chit-Chat (
Cantalisia&
Rejao mfano wa kuigwa).
- Kwenye Chit Chat unapata marafiki, kwenye Siasa unapata maadui.
- WanaChit Chat wanajua kuwa hawajui, WanaSiasa ama wanajua kuwa wanajua, au hawajui kuwa hawajui.
- Chit chat kuna ustaarabu, hakuna matusi ya nguoni na ikitokea kwa bahati mbaya mnaombana radhi, yamekwisha.
Kwenye Siasa visasi vyake vinadumu daima.
- Unaweza kuleta Siasa hapa ki-masihara, watu wakachangia kimasihara huku wanaambiana ukweli wa kufa mtu. Thubutu peleka Chit-Chat zako kwenye Siasa - Utatolewa kwa kiambazani.
- CHIT- CHAT ni jukwaa la majukwaa yote.