Chit - Chat Vs Siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chit - Chat Vs Siasa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Losambo, May 21, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia sana jukwaa la Chit - Chat na Siasa nikagungua faida nyingi za jukwaa la Chit - Chat VS Siasa kama ifuatavyo;

  1. Jukwaa la Chit - Chat halina malalamiko kuwa uzi wangu umefutwa au umetupwa kapuni, umeunganishwa na fulani kwa kigezo cha mada kufanana na aliyewahi kupost kwa sababu mada zake hata kama zinafanana MoDs hawajali sana kwikwi kwikwik heeeeh!!!!!! Mfano mtu akianzisha post kama "Mtalaka hatongozwi" na mimi nikasema "Kiporo hakihitaji moto mwingi kuliwa" siasa utakuwa utata, chit chat tambarale kabisa!!!!

  2. Ni vyepesi sana kuwa maarufu JF kupitia Chit - Chat kuliko siasa, kifupi kama ni kutoka siasa inabidi uwe na msuli wa kutosha kweli.

  3. Kugongewa like kwenye Chit Chat ni rahisi sana kuliko kwenye siasa. Kwenye siasa inabidi uwe ume convince watu kwa kufanya kitu cha maana na kinachoonekana tofauti na Chit - Chat.

  4. Wa Chit Chat ni chit chat na wa siasa ni wa siasa!!!! Kuna siku rafiki yangu aliniuliza Mbu sijui kawa nani hapa JF, nikajibu sifahamu kama kuna ID kama hiyo!!!!! Akashangaa sana, na mimi nikamuuliza unamfahamu Crashwise akajibu simfahamu nikamshangaa!!!!

  5......

  Nyingine tupieni wakuu kwa jinsi unavyoona utofauti wa majukwaa hayo mawili.

  Karibuni!!!!
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Tofauti kubwa kabisa ni kwamba: Jukwaa la Siasa ni Stress creator na Chit Chat ni Stress reliever... Ingawa yanafanya kazi kwa ushirikiano
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ndio maana panaitwa chit chat.....umbea,upuuzi,bongo lala vyote humu ndio kwake....hakuna kuumiza kichwa wala kutumia akili ukiwa chit chat...na most ya watumiaji wa chit chat ni mabongo lala....wapenda umbea umbea kupiga soga kila mara kutokufanya kazi kwa kifupi ni wavivu na hawafai kwenye jamii.....
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mmmh!...hapo ni KIFO na USINGIZI!...
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu, mtu ambaye siyo bongo lala anahitaji uwepo wa bongo lala ili tofauti ionekane.

  Naomba kuuliza: Ina maana Mod wetu RR ni ametuzidi wengine kwa u-bongo lala mpaka akatunukiwa u-mod?
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Ukiwa chit chat ni vigumu kupigwa ban. Teh
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha! Yo Yo bana! Wewe pia huwa nakuona chit chat hivyo umo ndani ya uliyoyasema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu upo sahii kabisa daaaah!!!
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeh!!!! Na mtetea Yo Yo keshakula ban sana jukwaa la saisa huyo jamaa
   
 10. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Atakuja sasa hivi kukupa majibu yako, ingekuwa siasa kaban kangekuwa kanakunukia tehe tehe tehe!!!!
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  yan wewe ndio bongolala kabisa coz uko chit chat na unawaponda wanachit chat...umesahau kuwa kuna muda wa siasa na story...think big
   
 12. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  kuna ukweli wowote jaman kwenye hii ya Yo Yo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  jichunguze wewe uone km ni sawa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwa kweli kabla sijaingia chit chat huwa naswitch off kichwa na kuswich ON mkia.

  Laa sana.
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  sometimes uwe unatumia ubongo kufikiri,siyo unakurupuka tu,kama watu bongolala we ulionaje huu uzi
   
 16. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,683
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  Yo Yo tuombe radhi wadau wa chit chat!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280

  ina maana kwenye jukwaa la siasa watu wana viherehere vya kupost bila kuangalia kama mada ipo hao haipo.....


  umaarufu jf??????????? loh....

  vitu gani vya maana vifanyavyo jukwaa la siasa mpaka mpeane like? loh............


  weeeeeeeeeeeee....nani kasema?
  kuna watu wapo majukwaa yote hadi la mapishi...  jukwaa la siasa unaweza kufa kwa presha........ haswa ukiambiwa ***** wanaofanya wanasiasa wetu....walaahhhhhi heri nibaki chitchat
   
 18. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  kwel watu na majina yao..
   
 19. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Kula tano hiyoo!!! Nakugongea like, ila natumia simu
   
 20. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sema na yakwangu Erickb52
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...