Chit - Chat Vs Siasa

Hahahha ahahha hahha,
Kaka yangu mtu chake huku raha sana hasa ukiwa na mwenza,utamu wa huku tunaujua wa huku huku tu!

Cantalisia shemeji yangu...hujambo bongolala?...bongolala mwenzio niko super...jitahidi boss wako asijue kuwa ww ni bongolala...utapewa kimemo!
 
Last edited by a moderator:

Hahahha hahha hahaha,
Shem wangu BAGAH mie niko poa japo siamin namna nnnavomuingizia mihela boss wangu na kunilipa kila mwezi nikawa bongo lala,nadhan hilo neno tulitumie tu km yalivo maneno ya kwenye keki ambayo mwisho wa siku tunayatafuna tu!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady hivi umekuwaje siku hizi?...alafu vip kuhusu utafsiri wa jina lako?...kiswahili chake?...
Kwani vipi tena BAGAH?.... Kuna mahali nimefanya ndivyo sivyo?....unanitisha ujue, nitafsirie kwanza jina lako kwa kiswahili afu na mimi nitakutafsiria la kwangu...kwenye PM lakini!

Yo Yo asijesema hawa bongolala wakosakazi wameanza tehe, tehe!
 
Last edited by a moderator:
aiseee hamuwezi kunielewa......hebu shughulisgheni vichwa vyenu bana....

Yo Yo inamana mie hunikutagi majukwaa mengine? Hakyanani nakuapia hujaijua raha ya chit chat arifu... Arifu siku ukiijua utalala humu afu mama nanlii akuchape makofi..

msalimie binti ako afu upunguze kuchokoza 'WEN DHIO'
 
Last edited by a moderator:
Yo Yo inamana mie hunikutagi majukwaa mengine? Hakyanani nakuapia hujaijua raha ya chit chat arifu... Arifu siku ukiijua utalala humu afu mama nanlii akuchape makofi..

msalimie binti ako afu upunguze kuchokoza 'WEN DHIO'
Lisa mzima anakunywa maziwa na corn flex sasa hivi.......arifu mie sio mchokozi sema nyie hamtaki kuukubali ukweli.....nikisema ukweli naambiwa mie mchokozi....

BTW nimeona picha kwenye bulogu ya Le mutuz le baharia @ Dodoma currently @Machame......
vida.jpg

umependeza sana.....

source ya picha Blogu ya William malecela inapatikana kwenye address hii Malecela WJ Blog: MREMBO WA DC AFUNIKA BLOG!
 
Kwenye Chit Chat, ikitokea kumkwaza mtu, iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi, akilalamika unamtaka apunguze munkar, tupo Chit-Chat.

- Adui yako kwnye siasa anakuwa rafiki yako Chit-Chat (Cantalisia&Rejao mfano wa kuigwa).
- Kwenye Chit Chat unapata marafiki, kwenye Siasa unapata maadui.
- WanaChit Chat wanajua kuwa hawajui, WanaSiasa ama wanajua kuwa wanajua, au hawajui kuwa hawajui.

- Chit chat kuna ustaarabu, hakuna matusi ya nguoni na ikitokea kwa bahati mbaya mnaombana radhi, yamekwisha.
Kwenye Siasa visasi vyake vinadumu daima.

- Unaweza kuleta Siasa hapa ki-masihara, watu wakachangia kimasihara huku wanaambiana ukweli wa kufa mtu. Thubutu peleka Chit-Chat zako kwenye Siasa - Utatolewa kwa kiambazani.

- CHIT- CHAT ni jukwaa la majukwaa yote.
 
Duuuuh mkuu umeipakulia sana Chit -Chat.
 
Yani hilo wala hujakosea mkuu,
Kule Rejao wangu anawasababishia vichefu chefu na kumchukia akija huko namwagia malove davi ya kufa mtu,
No stress wala nini nikupeana vitumbua na soseji tu kutwa mara 3 lol!
 
Last edited by a moderator:
ni kweli..kule tunakutana na watu wenye uchungu na nchi na uchungu wa maendeleo...tukishatoka kule tukija huku ni kuanza kurelax na kusikia huyu anatafuta mchumba huyu yuko single, yule kafumaniwa na vi ka hivo
 
Mi nafuatilia sana jukwa la siasa.lakini kule yataka moyo,hakuna mtu wa kukupoza moyo kama leo nafuatilia hukumu ya kesi ya mnyika lakini moyo unadunda kiasi cha kutaka kutoka.huku hakuna mambo ya kutiana presha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom