Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Haahahaaa dah aiseee ni kweli itakuwa ni kama kituko fulani vile....ila wapo sema hatujabahatika kuwaonaHahaha!! Sipatii picha mtu anakunywa Absolute Vodka na chapati pembeni
Haahahaaa dah aiseee ni kweli itakuwa ni kama kituko fulani vile....ila wapo sema hatujabahatika kuwaonaHahaha!! Sipatii picha mtu anakunywa Absolute Vodka na chapati pembeni
FirstLady1 siku moja moja unabadilisha mfumo wa breakfast asubuhi...lol
FirstLady1 siku moja moja unabadilisha mfumo wa breakfast asubuhi...lol
The Finest hivi huyo mtoto mdogo wa kike anakokomera wine??? au ni macho yangu tu??Au huu hapa najua pia utakukosha roho yako FirstLady1 maana Kidumu huwa hakosei kabisa najua afrodenzi na Erickb52 hawachomoki kwenye huu wimbo
kidum : kichuna - YouTube
Dah TF kweli hatuchomoki.....wamenifurahisha sana na umenifana nimmiss sana nanii lolAu huu hapa najua pia utakukosha roho yako FirstLady1 maana Kidumu huwa hakosei kabisa najua afrodenzi na Erickb52 hawachomoki kwenye huu wimbo
kidum : kichuna - YouTube
afrodenzi kumbe unafikiria ninachofikiria na mimi...hahaha sijui amewekewa busa na mangureeThe Finest hivi huyo mtoto mdogo wa kike anakokomera wine??? au ni macho yangu tu??
Hahahahaaaaaa aisee ukiipata nileteee nimtunizie Nitty.. Erickb52 FirstLady gambachovu The Finest afrodenzi naona mnazimua...nyie pigeni vyombo tu ila mjue zikiisha kichwani stress zenu ziko pale pale...
eti nimeona mahali mganga katangaza dawa ya kuacha pombe...inawezekana eeeh!?
Binafsi kuna wimbo wa Damian Marley na Nas (two of my top 10 artist of all times). Unaitwa 'Real friends'. Ndio wimbo unao kuna mutima wangu sasa hivi... afrodenzi I know you will like it (special dedication to my real friend, AshaDii)
Pia kuna "There for you" wa Damian Marley. The lyrics, the chorus, the music... wimbo mtam sana...
The Finestafrodenzi kumbe unafikiria ninachofikiria na mimi...hahaha sijui amewekewa busa na manguree
afrodenzi well nimegundua kama Angel ni mkorofi basi itabidi nikutumie manguree uwe unamchanganyia kwenye maziwa...lolThe Finest
au ndo fashion mpya mi na wewe tumepitwa na wakati hahahahah lol:A S cry:
The Finest ati nini??afrodenzi well nimegundua kama Angel ni mkorofi basi itabidi nikutumie manguree uwe unamchanganyia kwenye maziwa...lol
Lol....anakuwa anasinzia wala hasumbui...lolThe Finest ati nini??
sasa so ndo atapandisha mashetani kabisa.. hahahahah lol
haruhusiwi pombe mpaka afikishe miaka 18.. ukifikiri si mbali kabisa..
Hahahaaa halafu eti anasema anaenda shamba BAGAH akiwaga na HangOver anajifanya ana majukumu wakati jana alishinda kule kwenye bar yako ya Simba kananii
.. Erickb52 FirstLady gambachovu The Finest afrodenzi naona mnazimua...nyie pigeni vyombo tu ila mjue zikiisha kichwani stress zenu ziko pale pale...
eti nimeona mahali mganga katangaza dawa ya kuacha pombe...inawezekana eeeh!?