Chit Chat stress free songs ...!

Mie mzima dia, dedication yangu ya leo "chop my money" ya p square. Na "mirror" ya wayne ft bruno mars!

Kwa kuongeza "Daima na Milele by Marlaw" (FL naomba kutuma salamu?)
Amyner asante sana kwa nyimbo bora za mwaka unaruhusiwa kutuma salam ,lakini ziwe na TBS mkemia mkuu The Finest awe amezithibitisha
sasa punguza sauti ya radio yako na watu wasizidi wanne ,vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Last edited by a moderator:
mi napendanga zile nyimbo za kutimua vumbi mchiriku,mdumdiko,na mdumange af zile ngoma za unyango yaan hapo mambo mwake mwake!!
 
A Dedication to Gaijin. Najua wewe ni mtu wa tarab na miduara, But please Listen to this song... I dedicate it because kuna siku niliusikiliza na kuuangalia on TV, and surprisingly enough I remembered you. Sijui kwanini but I did. You can take it or Leave it...

Last edited by a moderator:
AshaDii

A Dedication to Gaijin. Najua wewe ni mtu wa tarab na miduara, But please Listen to this song... I dedicate it because kuna siku niliusikiliza na kuuangalia on TV, and surprisingly enough I remembered you. Sijui kwanini but I did. You can take it or Leave it...

I will pass
 
Back
Top Bottom