Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Gaijin hapa hata mimi umenikosha kweli kweli lazima niziweke kwenye maktaba yangu ya muziki
Lazima nikutupie na Kachiri basi
kachiri kachiri saga
Mume wangu kasafiri
Kaniachia kigoma na mtindo wa hariri
kaniachia corolla na madola tele tele
na kidani cha dhahu na kiatu cha kokoko
kisimu cha mkoni
Sagaaaa .....
Hizi ndio all time best kwangu kwenye chakacha/mduara genre
*Hizi video zinanifurahisha kuona hao watu wanavyo jirusha
Last edited by a moderator: