Chit Chat stress free songs ...!

Hasira za nini wewe baba, wataka kuniua bure babaaa
yule si wangu na miii sii wako chuki ya nini kati yangu mimi na weweee

The Finest
 
Last edited by a moderator:
Heheheh inaonyesha wewe hupendi chapati ......

Shurti kuna za kusukuma, za maji na za ufuta......Wazijua wewe?
Hahaha!! Inabidi nipate darasa maana hizo za ufuta sijui zikoje, kwanza leo mtaani lazima nitafute ufuta aisee sijauona siku nyingi...lol
 
Hahaha!! Inabidi nipate darasa maana hizo za ufuta sijui zikoje, kwanza leo mtaani lazima nitafute ufuta aisee sijauona siku nyingi...lol

Watokea wapi wewe hata mkate wa ufuta huujui?! Hapa The Boss anahusika sana kuja 'kukuingiza mjini Bandari Salama"


Donge lote ukanipa kinyama mkononi kuonja,
Donge lote ukanipa kidogo mkononi kuonja,
Daktari huyo yuwaja, daktari huyo yuwaja, aja kitia dawa kidonda ............halooooooo

Space Unit Feat. Mariam Hamisi - Kidani - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
lol @ The Boss mzee wa masizi

Ngoja nimpoze kwa hiki Kinyaunyau manake atasema tunamrushia ndege wake :biggrin1:


Gaijin hapa hata mimi umenikosha kweli kweli lazima niziweke kwenye maktaba yangu ya muziki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom