Dah!! Huu wimbo huu banaa...lol
BAK huo wimbo very tempting...lol..asante mkuu karibu sana..Unakumaliza eeh! TF 🙂🙂...hongera kwa juhudi zako za kufanikisha SACCO ya JF
duuuu@BAK
kumbe nilichelewa naona library yako imejaa mavitu ya kueleweka
sana ..leo nimejipatia video ambazo sikuwa nazo
Amyner si uliniambia unapenda mchiriku
Amyner salama shost ....wewe una dedication gani leo?
Amyner zile za wazee mambo ya Franco Luanzo TP OK Jazz...lolLol The Finest hiyo ilitakiwa iwe siri yako tu.. Afu unakumbuka uliniambia we ni bingwa wa zile dance za "zero distance"...? Bado unaziweza?