Chit Chat Praise and Worship Team

Chit Chat Praise and Worship Team

Me naimba sauti ya 7... Na muimbisha mapambio..... Tafwazali msinisahau!!!!!
 
Sasa hilo kanisa litakuwa linahubiri nini jamani kama waumini wenyewe ndiyo hao??

Mie naomba mnipe nafasi nitawaeleza mipango yangu ya ukombozi wa hawa wajukuu zangu kwa mwaka 2013!!


Babu DC!!
 
Back
Top Bottom