Hapo kwny REDKwa kweli dada alikuwa anachangamsha sana hili jukwaa. Anajua kufrustrate, kutibua akili za watu. Yaani ni pasua kichwa. Tangu alipoondoka jukwaa hili limepoa na huenda likafa kama kilivyokufa kipindi cha usiku wa habari tbc baada ya jerry muro kuondoka. Mimi niko tayari kumnunulia bundle ya mwezi mtandao wowote anaotumia
Lolz
You likey?
Hapo kwny RED
Duuh! hizi fikra za kimasaburi laivu
au ndo umetumwa umpigie promo??
Yupo Lizzy aka the hottest chick in the gameoa:lol:
Yawezekana yupo likizo au hana access na internet
Sidhani kama hata mfikia,MxYupo Lizzy aka the hottest chick in the gameoa:lol:
Sidhani kama hata mfikia,Mx
ni yeye mwenyewe anajipa promo!Hapo kwny RED
Duuh! hizi fikra za kimasaburi laivu
au ndo umetumwa umpigie promo??