Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,645
- 23,271
Sio hivyo tu, yaani mpaka dawa anayotibiwa akiumwa inawekwa dawaWakulima wa mtama tunakucheka pia 😂😂 Hakuna sehemu uko salama hizo nyanya mpaka kitunguu, yaan mpaka hayo mafuta unakula
Sio hivyo tu, yaani mpaka dawa anayotibiwa akiumwa inawekwa dawaWakulima wa mtama tunakucheka pia 😂😂 Hakuna sehemu uko salama hizo nyanya mpaka kitunguu, yaan mpaka hayo mafuta unakula
Hahaha unaenda wapi?Matter call wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nmecheka mwenyewe road
Chips kwa mwanaume ni mtihani,mi sishibi kabisa na zinaniletea hali gesi tumboni sijui kwann.. chips wale mabinti tu sio MenChips za mtaani zinabaki kuwa chips bora na tamu kuliko chips za sehemu yeyote ile.
Though upishi wa chips ni mmoja lakini bado utashangaa radha zinatofautiana au waungwana huweka vidawa.
Hasa chips inayopikwa sehemu chafu chafu huwa tamu sanaaaa kumzidi hata huyo KFC
Kununua baruti za saa sita kamiliHahaha unaenda wapi?
Hahaha ngoja wakubakeKununua baruti za saa sita kamili
aah wacha nirudi nyumbani,ushanitishaHahaha ngoja wakubake
😂😂 WalahSio hivyo tu, yaani mpaka dawa anayotibiwa akiumwa inawekwa dawa
Weakness yangu: hata nikiwa hotel ya nyota tano nakula chakula kizuri na vikolomwezo kibao, huwa si-enjoy kama nikiwa huku kwa kina kauzibe. Yes, nitakaa na kula kizungu kwa uma na kisu huku nafuata kanuni zote za ulaji wa kistaarabu, lakini kamwe sita-enjoy kama niko hizi sehemu za uswahili nakula.Kwangu mie sio kawaida honestly
Kushabikia uchafu kwa kigezo cha usionekane unaringa ni ukichaa daraja la kwanza
Hata kvma za uswahilini, chafchaf zile zenye UTI sugu, kaswende, nk.nk ndizo huwa tamu, ila ukitoka hapo kuwa kabisa na stock ya kutosha ya AzumaChips za mtaani zinabaki kuwa chips bora na tamu kuliko chips za sehemu yeyote ile.
Though upishi wa chips ni mmoja lakini bado utashangaa radha zinatofautiana au waungwana huweka vidawa.
Hasa chips inayopikwa sehemu chafu chafu huwa tamu sanaaaa kumzidi hata huyo KFC