Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 961
- 3,057
je vipi mbowe na mbatia kuna atakae pona mkuu?Ikija huku hakuna CCM ambae atapona
je vipi mbowe na mbatia kuna atakae pona mkuu?Ikija huku hakuna CCM ambae atapona
Hata hao wakithibika wale kitanzi tu,kwani wao ndo nanje vipi mbowe na mbatia kuna atakae pona mkuu?
Marekani je??Mataifa yote yasiyo na Democratisia raia wake huwa ni wakatili sana na hawana utu,sababu hawajafundishwa misingi ya utu na Upendo wa kuwathamini wengine. Angalia waarabu na wachina hawaachani tabia za ukatili.Kwa Asia angalau wajapani na Wakorea kusini ndo angalau wako civilized wanao utu
Hao hao unaosema wana demokrasia kipindi wanatafuta maendeleo ya nchi zao hawaku implement democracy walivamia Africa ,Asia wakachapa bakora na kunyonga watu mpaka walipopata maendeleo makubwa ndio waka implement democracyMataifa yote yasiyo na Democratisia raia wake huwa ni wakatili sana na hawana utu,sababu hawajafundishwa misingi ya utu na Upendo wa kuwathamini wengine. Angalia waarabu na wachina hawaachani tabia za ukatili.Kwa Asia angalau wajapani na Wakorea kusini ndo angalau wako civilized wanao utu
Sio CCM tu hata CHADEMA na ACT. Asikwambie mtu hawa wote wapiga dili tuu.Ikija huku hakuna CCM ambae atapona
a.k.a nyoka wa makengezaNimemuona Chenge kati hapo vipi mwili wake tutarudishiwa au watazika wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaogopa kifo sio?Mataifa yote yasiyo na Democratisia raia wake huwa ni wakatili sana na hawana utu,sababu hawajafundishwa misingi ya utu na Upendo wa kuwathamini wengine. Angalia waarabu na wachina hawaachani tabia za ukatili.Kwa Asia angalau wajapani na Wakorea kusini ndo angalau wako civilized wanao utu
Marekani ana utu? Uingereza ana utu?Mataifa yote yasiyo na Democratisia raia wake huwa ni wakatili sana na hawana utu,sababu hawajafundishwa misingi ya utu na Upendo wa kuwathamini wengine. Angalia waarabu na wachina hawaachani tabia za ukatili.Kwa Asia angalau wajapani na Wakorea kusini ndo angalau wako civilized wanao utu
Nazungumzia watu sio nchi km nchi,Marekani ana utu? Uingereza ana utu?
Halafu Sasa Cha ajabu nchi zenye udikteta ndo zinazongoza kwa umaskini ukilinganisha na hao wenye demokrasia.Hao hao unaosema wana demokrasia kipindi wanatafuta maendeleo ya nchi zao hawaku implent democracy walivamia Africa ,Asia wakachapa bakora na kunyonga watu mpaka walipopata maendeleo makubwa ndio waka implent democracy
Sasa nyie mpo fukara developing country kamwe hamtoendelea na democracy ..
Hivi hawa macho madogo unawaju ...?Tupe vyanzo vya habari..maana hii kama move ya kichina
I think it's just a moveHivi hawa macho madogo unawaju ...?