China yanyonga hadharani wanasiasa 26

China yanyonga hadharani wanasiasa 26

kama watu wanajua kuna kunyongwa lkn wanaiba tu, vipi huku ambapo hata wanaojiona mbadala wa serikali RUZUKU tu kuimanage ni wiziwizi.

Nimegungua wizi hauwezi kuisha ila utapunguzwa tu maana SIJAWAHI kumuona Legally confirmed Fisadi japo pesa zinaendelea kupotea.
Huku wanalamba Hadi tillioni 1.5 kwa mwaka mmoja aibu sana[emoji17]
 
Hii inaweza kua sehemu ya kuwakumbusha wanaoona wanatakiwa kupingana na uongozi na maamuzi ya kiongozi Xi Jinping, nini kitawapata wakitaka kupimana naye ubavu.
 
Mataifa yote yasiyo na Democratisia raia wake huwa ni wakatili sana na hawana utu,sababu hawajafundishwa misingi ya utu na Upendo wa kuwathamini wengine. Angalia waarabu na wachina hawaachani tabia za ukatili.Kwa Asia angalau wajapani na Wakorea kusini ndo angalau wako civilized wanao utu
utu wa nini kwa mwizi? anapoiba kuna watu maskini wanakufa
 
Back
Top Bottom