China yanyonga hadharani wanasiasa 26 ambao ni wabadhilifu wa Mali za umma (Mafisadi).
Mafisadi hao walihukumiwa kifo cha kupigwa risasi uwanjani hadharani watu wakishuhudia baada ya kubainika kupora Mali ya umma. Inadaiwa kuwa yumo bilionare namba saba wa China.
Mataifa yote yasiyo na Democratisia raia wake huwa ni wakatili sana na hawana utu,sababu hawajafundishwa misingi ya utu na Upendo wa kuwathamini wengine. Angalia waarabu na wachina hawaachani tabia za ukatili.Kwa Asia angalau wajapani na Wakorea kusini ndo angalau wako civilized wanao utuIla adhabu hii ni kali sana....
Yeah ndio nzuri lkn nasubiria source ya hii storyIla adhabu hii ni kali sana....