Kampuni niliyoitaja haihusiki na architecture pekeyake bali inahusika pia na kitu kinachoitwa planning and urban design. Ungeperuzi zaidi katika hiyo link ungekiona hiki ninachosema.
Hiki hapa nimekurahisishia:
www.kpf.com
Kampuni za Kichina kufanya kazi Marekani sio shida yangu hapa, na wala sijawahi kupinga hilo. Nilisema na narudia: Marekani imehusika zaidi kwenye uundwaji wa miundombinu za kisasa za China kuliko ambavyo China imehusika kwenye miundombinu za Marekani.
Projects ninazozungumzia hapa ni major projects za majengo katika miji mbalimbali kama ambavyo mleta uzi amejaribu kulinganisha, ambazo miongoni mwazo zimegharimu zaidi ya half a billion USD.