China sio nchi iliyoendelea

China sio nchi iliyoendelea

Ni masuala ya tamaduni, kumbuka hao walitutawala kwa namna flani tunaelewa tamaduni zao, China kuanzia lugha na tamaduni tofauti.

Suala la kiuchumi China ipo mbali.
Sija center maelezo yangu suala la kiuchumi njomba nmeongelea maeneo unayoweza kuishi na ukastawi bila bugudha na muingiliano rafiki na jamii. Ya uchumi ni kweli lakini china ni developing country sio developed. Ukibisha umeamua kubisha.
 
Kweli kabisa China haijaendelea Mara nyingi hata kwenye movie zao misitu ni mingi sana😄
 
Hueleweki. Kajipange andika upya. Middle east tunakolipwa laki 6 milion 2-3 na ukosefu wa uhuru na muingiliano plus hali ya hewa kimeo ndio unapaita fresh kwa kusaka maisha na ku settle? Hauko serious. Middle east tunaenda kusaka mitaji ya kuingia duniani (ulaya na bara Amerika [canada & US]) waarabu wenyewe wanakimbilia huko.
Ninaeleweka ila huwenda hujaelewa misamiati nilotumia nimeitumia kwa unajili upi.
Tafuta ulipaji wa Qatar,Turkiye na Bahrain tu uone wanalipaje.
Nina rafiki dereva Turkiye analipwa Oman real 200 sawa sawa na milioni moja kama na laki 2.
Embu fananisha na dereva wa kawaida wa USA analipwa pesa inayofika hapo??
Na wanakuhudumia chakula na malazi.
Waarabu wanaokimbilia Ulaya ni wakimbizi tu labda na wafanya biashara kuja kutafuta business potentials zaidi ila tofauti na hapo hakuna,maana hata hao wakimbizi wanaripotiwa kukimbilia sana Uturuki kwa hii miaka ya karibuni pamoja na Qatar.
Hao wanaolipwa laki 6 ni ma housegirl bro.
 
Shida ni lugha lakini Japan,Korea kusini wanalipa pesa nzuri kwq saa kuliko USA na ulaya halfu kazi zimejaa.
Pia ni rahisi kuzamia ulaya na sio Japan Korea
Japan, Korea, China sio multicultural hawatoweza kubadilika kirahisi hawa watu wanaishi maisha yao hata wakienda nje ya nchi zao ni mwendo wa kuishi kivyao vyao.
 
Homeless wengi USA na ulaya ni mateja
Hakuna wewe. Wadanganye wasiofika huko. America kenge wapo wakutosha kabisa. Kitu kimoja hukijui masikin wa America hana pa kupumulia. Kwa mfano bongo kwa pale Dar life likikushinda unaweza kurud kijijin na maisha yakaendelea. Marekan ukifilisika imeisha hiyo.
 
China ni nchi ya kijamaa. Itakuja kusema imeendelea siku wananchi wake WOTE watakapotoka kwenye umaskini tofauti na nchi hizo zinazosema zimeendelea wakati makundi ya maskini hawana pa kulala wala chakula. Hiyo ndoo falsafa ya china kuhusu MAENDELEO.
 
Ninaeleweka ila huwenda hujaelewa misamiati nilotumia nimeitumia kwa unajili upi.
Tafuta ulipaji wa Qatar,Turkiye na Bahrain tu uone wanalipaje.
Nina rafiki dereva Turkiye analipwa Oman real 200 sawa sawa na milioni moja kama na laki 2.
Embu fananisha na dereva wa kawaida wa USA analipwa pesa inayofika hapo??
Na wanakuhudumia chakula na malazi.
Waarabu wanaokimbilia Ulaya ni wakimbizi tu labda na wafanya biashara kuja kutafuta business potentials zaidi ila tofauti na hapo hakuna,maana hata hao wakimbizi wanaripotiwa kukimbilia sana Uturuki kwa hii miaka ya karibuni pamoja na Qatar.
Hao wanaolipwa laki 6 ni ma housegirl bro.
Doh bado uko na uwezo chini.
Unayeongea naye hapa anafanya kazi Qatar najua nachoongea.
Waarabu niliosema wanakimbilia Ulaya ni wakimbizi sijasema nationals wa kawaida. Na ndio ujiulize kama una akili kwann hao wakimbizi wa opt Ulaya na sio Uarabuni? Arabuni hatulipwi kwa masaa ww. Unalipwa monthly. Hiyo milion unayosema ni pesa kidogo.
Labour work Canada una earn mpaka CAD 30 kwa lisaa..do ur math kwa mwezi ni kiais gani. Qatar labour riyal 1000 sawa na laki 680 na wengine mpaka milion 1.
Jfunze zaidi ndugu.
 
Basi huwenda sehem hutofautiana siwezi kukupinga .
Ninaowafaham mimi wao hunipa taarifa za kulipwa kwa siku na hulipwa kwa Oman rial.
Huwenda utofauti wa waajiri.
Ila suala la wakimbizi Uturuki ndio nchi inayokimbiliwa na wakimbizi wengi wa kiarabu kwasasa mwaka jana tu imepokea wakimbizi zaidi ya milioni 5 wa kiarabu ilhali Ulaya hawajafikia hiyo takwimu kwa mwaka jana.
Hongera yako kwa kufanya kazi Qatar.
 
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.

Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France[emoji632] nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa china wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.

Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand
China inaitwa THE ROARING DRAGON ,hatua zote unazoziona wachina wamezipiga ndani ya miaka 70 na hawana dalili ya kusimama hivi karibuni ,
Hakuna Race inachapa kazi kwa bidii kama mchina hapa duniani hakuna, mzungu anamzidi mchina akili,ila mchina anamzidi kila mtu KUFANYA KAZI KWA BIDII hakuna kitu itazuia china kuwa Superpower siku za usoni

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Basi huwenda sehem hutofautiana siwezi kukupinga .
Ninaowafaham mimi wao hunipa taarifa za kulipwa kwa siku na hulipwa kwa Oman rial.
Huwenda utofauti wa waajiri.
Ila suala la wakimbizi Uturuki ndio nchi inayokimbiliwa na wakimbizi wengi wa kiarabu kwasasa mwaka jana tu imepokea wakimbizi zaidi ya milioni 5 wa kiarabu ilhali Ulaya hawajafikia hiyo takwimu kwa mwaka jana.
Hongera yako kwa kufanya kazi Qatar.
Tuko pamoja. Yeah nipo Qatar kituo kinachofuata ni kuisaka Ulaya mkuu au canada. Bongo sio. Uarabuni ni njiapanda ya Ulaya
 
Sija center maelezo yangu suala la kiuchumi njomba nmeongelea maeneo unayoweza kuishi na ukastawi bila bugudha na muingiliano rafiki na jamii. Ya uchumi ni kweli lakini china ni developing country sio developed. Ukibisha umeamua kubisha.
China yenyewe hadi viongozi wake wanaji term as developing country kwa sababu moja wapate urahisi kibiashara na mikopo ya masharti nafuu katika mashirika mbalimbali duniani kama WTO, IMF, WB pia inasaidia wao kufanya biashara kiurahisi , lakini usafiri wao, miundo mbinu n.k wapo mbali na pengine kuwazidi hao unasema ni developed, Trump alisha tweet ile tweet nimeitafuta sijaiona alisema “China is developed!” “China is developed!”

Lakini kuna hii tweet isome uwafahamu Chinese walivyo wajanja.

View: https://twitter.com/realDonaldTrump/status/982264844136017921

china.PNG

image.jpg

Hii ndio developing country?
 
Hakuna wewe. Wadanganye wasiofika huko. America kenge wapo wakutosha kabisa. Kitu kimoja hukijui masikin wa America hana pa kupumulia. Kwa mfano bongo kwa pale Dar life likikushinda unaweza kurud kijijin na maisha yakaendelea. Marekan ukifilisika imeisha hiyo.
Masikini wengi ni mateja
 
Nimesoma na wachina nchini sweden, japan, USA and other western countries, wote wanataka kuzamia west and USa. Nipe sababu ya hilo
We mtu una degree ngapi na ulisomea nn kwenye nchi zote hizo?!!!
 
Back
Top Bottom