China sio nchi iliyoendelea

China sio nchi iliyoendelea

We mtu una degree ngapi na ulisomea nn kwenye nchi zote hizo?!!!
If you are an academician, this is normal......short courses, International conferences, second degree, PhD, sabatical leave, Post doc training.......
 
Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa china wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.
Hadi huku Africa wanakuja kutafuta maisha.
 
Nimesoma na wachina nchini sweden, japan, USA and other western countries, wote wanataka kuzamia west and USa. Nipe sababu ya hilo
Hata wale homeless pale Americant wanatamani kuikimbia hio Americants yenyewe
 
Sija center maelezo yangu suala la kiuchumi njomba nmeongelea maeneo unayoweza kuishi na ukastawi bila bugudha na muingiliano rafiki na jamii. Ya uchumi ni kweli lakini china ni developing country sio developed. Ukibisha umeamua kubisha.
Sasa mwaka jana sijui ama miaka kadhaa nyuma kama miwili au mitatu hao developed country walikua wanalia lia kwamba China iekwe hapo pia?
Kwamba wao hawakujua kama bado china ni kama misri ama?
 
Inalisha asilia 20 ya chakula dunia yote japo eneo lake linalofaa kuzalisha chakula ni 9% pekee.

Inauza magsri ulimwenguni kuliko nchi yoyote kwa sasa

Inauza ndege za kutosha kwa soko lake la ndani na .nje.

Wewe jamaa hauko serious.

Jamaa wamepitia hatua zote za development, wamebutuana sana wenyewe kwa wenyewe huko nyuma
 
Watu wengi wanajuwa kwamba china ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea.

Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato la mwananchi wa kawaida wa China ni mdogo ukilinganisha na mataifa kama Japan, Germany, USA, UK, France[emoji632] nk.

Kwasababu ya udogo wa uchumi wa China, hata wa China wenyewe wanakimbilia USA, Europe, Japan, south Korea, Canada kutafuta maisha.

Hata hapa Afrika, huwezi kusikia mtu anakimbilia kutafuta maisha China. Mtu atapigana kwenda USA, Japan, Europe kutafuta maisha.

China bado sana. Level zake ni Misri, Algeria, Thailand

mnyang’anyeni simu atapost ujinga shauri yenu!!
 
Back
Top Bottom