China sio nchi iliyoendelea

Kwani Marekani hakuna masikini ?
 
Sasa mkuu unaishangaa China kuwa na masikini milion 200 ambao ni sawa na % 8 ya raia wa nchi hiyo ila hauishangai Marekani yenye masikini milion 36 ambao ni sawa na%10 ya raia wa nchi hiyo?
 
Kama masikini wa US wako hivyo, basi huko China ni *3
Ukienda vijijjin china kuna vijiji vya ujamaa kila Kijiji kina bwawa la samaki. Yaan unaweza kuish bila shida. Tatizo la China ni kuwa sera yao ya kuzaa mtoto mmoja ilikuja kuleta shida maana mtoto mmoja wazazi washazeeka inabid awapambanie nk. Huku sio Kama western countries Mzee akizeeka anapelekwa boarding kuishi kama kuku wa kisasa mzee. So kwa kiwango cha umasikin kwa linchi kama marekan mi naonaga ina watu mabepar sana. Bora ungesema Nordic countries
 
Sasa mkuu unaishangaa China kuwa na masikini milion 200 ambao ni sawa na % 8 ya raia wa nchi hiyo ila hauishangai Marekani yenye masikini milion 36 ambao ni sawa na%10 ya raia wa nchi hiyo?
Kwanza kabisa hesabu hujui. Namba zako zako ovyo. Milioni 200 si 8% ya raia wa China. Na hata hivyo 8% bado ni significant.

Pili, hakuna kipimo kilichokubalika na Wachumi cha kuita nchi imeendelea au haijaendelea, hivyo mjadala huu hauna jibu litakalotokana na vipimo vya kiuchumi vilivuokubalika, itakuwa ni jambo la kila mtu kuamua tu.
 
Yani Wee uende China Kutafuta Maisha Wakati Wenyewe wanakimbia Kwao China Bado Sanaa Mpaka Waache kula Nyoka ,Mmbwa wadudu Wanaotambaa Ndo Wanakuwa na Akili
 
hayo ya tandahimba yako, China hakuna kitu wanajitahidi majengo, but not life as life, life is in the USA and western world...
yeah ukiangalia majengo unaweza zidharau nchi kama norway,sweden...kumbe kimaisha ziko bora kuliko nchi nyingi duniani.
 
Mbona hizo nchi zote ulizo zitaja hapo kwa vipato vya mtu mmoja mmoja zinazidiwa mbali sana na Qtaar,UAE,Brunei, Singapore, kwahiyo hizo Ujerumani haijaendelea kisa inazidiwa na Qtaar kwenye kipato cha mtu mmoja mmoja?
Kwani mtoa uzi kasema qatar singapore nk hazijaendelea?
 
Huko China vijijini bado kuna watu hawana uhakika wa maji safi na salama mpaka leo kama bongo tu.
 
Wewe unaijua japan kweli kwa kuibeza japan ni nchi tajiri duniani pato la taifa ni kubwa wachina wanakimbilia japan kila saa
yawezekana maana hata kama china tajiri lakini kipato cha mtu mmoja mmoja bado si kikubwa kama japan
 
kunasehemu uko sahihii na kunasehemu unaongea kama hujielewi!
Kama kuna siku china ikaaachia mipaka yake kama zilivo nchi za ulaya basi ungeona waafrica na nchi za asia zikijaa huko hata wahindi wangejaa china.

Lakin bahati mbaya nchi ya china au nchi nyingi za asia hazina hizo loose policy za migrants au refugees.
 

Attachments

  • C2FBA251-0A53-47C8-9083-78A9D19D7E64.jpeg
    351.8 KB · Views: 16
China ya sasa ni zaidi ya US,wanaofikiri US wako mbele bado mmelala,na nimefika na kuishi Nchi zote mbili
 
Ni vingi lakini kimojawapo kikubwa ni GDP per capita. GDP per capita ya China ni ndogo sana ukilinganisha na mataifa mengi ya Ulaya na America. Ipo chini kuliko hata GDP per capita ya baadhi ya nchi za Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…