China na Xi Jinping vipi tena?


Mtu badala aandike kwa utalaamu, analeta majungu na kashifa zisizo na maana. Sasa umeandika au unaleta umbea???
 
This two giants are colliding in violent sprial 0f death, and we are living in event horizon
 
Sikutegemea kama USA ataanzisha haya mambo, Mimi naichukulia USA kama taifa namba moja kubwa sana, ina maana wamekosa njia zote za kupambana na mchina na kufikiria hii?
 
Mtu badala aandike kwa utalaamu, analeta majungu na kashifa zisizo na maana. Sasa umeandika au unaleta umbea???

Msamehe bure. Jamaa lenyewe ni Nyani, ni mtunzi mzuri wa mapambio ya kuisifu America na misimamo ya Trump.
 
Nahisi Tanzania tunaweza kuwa top 10 ya watu wenye uelewa mdogo wa mambo Duniani, kila tukio huku linachambuliwa kishabiki.
Shida ni hizi tamaduni za kigeni zilizo badilishwa jina na kuitwa dini zinafanya watu wasiwe na sense of reasoning kabisa.
 
Una kiwango gani cha elimu wewe?
He is the graduate of the muslim religious school commonly known as The Madrassat. Their curriculum is largely influenced by the dogma inherent in their holy scripture thus contributing to their reasoning capacity to be very shallow to say the least.
 
Sikutegemea kama USA ataanzisha haya mambo, Mimi naichukulia USA kama taifa namba moja kubwa sana, ina maana wamekosa njia zote za kupambana na mchina na kufikiria hii?
Njia mbadala unayofikiria wewe ni ipi tofauti na hii au unataka wapigane vita vya silaha.
 
Nilikuwa naangalia muvi moja ya kichina, mama mmoja akawa kasbika lijikoti toka Marekani. Yale yenye sufi. Unajua alisema nini? Anashangaa wanatumia matirio mengi sana kutengenezea nguo. Pale kwenye lijikoti yeye anaweza kutoa makoti mawili 😁
 
I can understand that. Maana at that point haina maana yoyote ile kushindana kuongeza viwango vya asilimia.

Ni utoto flani hivi.

Just waiting to see who will blink first.

Hamna, atakayeshindwa ni yule atakayelipa asilimia kubwa ya tariffs!

Hesabu za shule ya vidudu hizi.
 
Sio tu wote mpaka serikali yote ningekuwa na uwezo ningewahamishia hapa kwa mwaka wajifunze vitu vinafanyaje kaz. Tuache ushabiki ndezi na kulaumu
Hawa viongozi wa Africa ? Ht uwaoeleke wake miaka 5 hakuna Cha maana watafanya
Kwani hawajui nn kinatakiwa ? Wanajisima data tu , mbona Traole huko anapambana ?
 
Kama USA ana utegemezi wa Almost 500bl dollars na China anategemea just 150 nani mhitaji kwa mwenzake?. Hadi sasa kuwa na gari wa Tz ni anasa kwa sababu imewekewa kodi kubwa wakati huo tunategemea kutoka nje na hatuna viwanda vya kuzalisha magari,
Vitu vingi Tu bongo ni km kuwa navyo unaonekana Tajiri kumbe vya kawaida tu
 
Imetuumiza sana hasa sisi wachina wa Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa mfuga Mbwa, Vigwaza, Sanfura chole,Kimanzichana na Mburahati

 
Dogo hujui. Marekani hategemei china. China soko lake kuu ni Marekani kama hukuambiwa.
 
Hawa viongozi wa Africa ? Ht uwaoeleke wake miaka 5 hakuna Cha maana watafanya
Kwani hawajui nn kinatakiwa ? Wanajisima data tu , mbona Traole huko anapambana ?
Viongoz ni zao la jamii chief. So sema sisi waafrika. Maana ikiwa wanatenda tofauti na sisi tungeonyesha kutokukubaliana nao
 
Vitu vingi Tu bongo ni km kuwa navyo unaonekana Tajiri kumbe vya kawaida tu
Tukiiwekea Japan ushuru wa magari kwa 300% nani anapata athari zaidi,? Yeye anapata kioato kupitia ununuzi wetu au na sisi ambao hatuna ootion nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…