China na Xi Jinping vipi tena?

Acha coment ya kipumbavu mkuu, africa ni nchi maskini hazina potential ya maana kwa china. Potential market ya china ni USA
Ni kweli kuwa kadirio la 438bl usd USA import kutoka China na ku expprt 150bl hii ina maana kuturn mara moja kwa USA ataumia yeye zaidi kwani China ina import zaidi soya, petroleum product wakati aki pokea vifaa vya viwandani, nguo, nk. Je alijopanga kabla ya Trump. Ataathirika tu
 
Duh humu watu wanatuaminisha china ana soko sehemu kubwa Africa,us hawezi mbabaisha😂
Kama USA ana utegemezi wa Almost 500bl dollars na China anategemea just 150 nani mhitaji kwa mwenzake?. Hadi sasa kuwa na gari wa Tz ni anasa kwa sababu imewekewa kodi kubwa wakati huo tunategemea kutoka nje na hatuna viwanda vya kuzalisha magari,
 
Kuna pahala wamesema watacheza na Umeme energy😀😀😀😀Kuna mitaa ya jamaa kule itakuwa giza.
Jana wametangaza kupunguza tarrifs pande hizo ..wamebaki na Wachina.

Mchina shikiria hapo hapo..mpo billion na point na kuna mapori kibao huku😀😀
 
Niumie kwa sababu gani ? washindwe kuumia wakina Xi Jinping huko nije niumie mimi kwa vita visivyo nihusu una matatizo wewe.

Una ushabiki wa kitoto
Kama Trumo lilivyokuwa na utoto mwingi, anacheza kidali poo....pumbavu kabisa hili
Mara hajui vita, sijui milango ya internet iko marekani, upupu mtupu,
Nostalogia jf zamani walikuwa wanaitikia tu
 

China raises tariffs to 125%.

 
Wamarekani wa bunyokwa..angekua labda Mo dewji au gsm au bakresa wanapayuka ningewaelewa
 
Tariffs zimeongezwa juzi tu hapa na US to China lakin mnataka China a-respond muda huo huo bila ku calculate another measure to take.

Wabongo mmenzoea kukurupuka so muacheni China acheze chess as she see's fit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…