white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,316
- 13,282
Acha kupotosha, watu nani amelazimishwa kuwa ni lazima anunue dawa toka ulaya?!mbona algeria wao wameagiza URUSI?mbona nchi za ulaya nyingine zimeagiza chanjo ya URUSI?!!Sasa kwa nini tusinunue chanjo toka China? Kwanza ni rafiki zetu wa damu na juzi tu Waziri wao wa mambo ya nje alikuwa Chato. Wao kazi yao ni kutupiga ban kwenye nchi zao.
Bidhaa zetu nyingi zinatoka China. Kwa nini hii bidhaa ya mRNA tulazimishwe kuinunua kutoka kwa mabeberu hawa trna kwa bei yao kubwa mara 100 ukilinganisha na ile chanjo ya China? Halafu ya China ni original, haina RNA.