Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,287
- 14,121
6:2 - Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka.Kuna kitu kinaitwa
1st person - yani Mimi au sisi
3rd person -kuongelea mtu mwingine ambae sio wewe, yani wao, yeye ,yakwao n.k
Hapa allah anaongea moja kwa moja na anatumia 3rd person ku reffer kwa Mungu , allah anasema kuna Mungu ndio aliye kuumbeni
6:2. Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo,....
Bila shaka haya ni maneno ya Muhammadi.
Ingawa hajaambiwa popote "sema"