Chiligati: Acheni kuandika habari za wanachama wa CCM kujiunga CHADEMA

chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
Hapana bana hujafikiria vizuri, ili hayo maendeleo unayotaka yaandikwe yapatikane ni lazima CCM ife, hivyo kwa sasa hakuna habari nyingine ya kuandika zaidi ya kifo cha CCM.Kwani wewe na Chilligati mnaumia nini si muache tu kununua na kusoma hayo magazeti...au inaingia?
 
Mwaka huu lazima magamba yaruke!!

Na halali mtu hadi kieleweke!!
:israel:
 
Hivi ina maana page zote za magazeti wanaandika habari za watu kuwahama magamba?kweli mfa maji...
 
Chiligati you must chill or else you are just like chili and not everybody eats chili.

Chiligati we elewa tu wewe ni chachandu hutupi homa kabisa wana M4C
 
Hivi ina maana page zote za magazeti wanaandika habari za watu kuwahama magamba?kweli mfa maji...

Sasa mbona Chili Geti hajalalamika kuwa kwa nini kila siku katika Taarifa ya Habari ITV saa 2:00 usiku lazima Rais Kikwete auze sura??????

Awaambie ITV kwanza waache kumuonyesha Kikwete

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
acha mawazo yako mgando hayo, hivi unajua maana ya maendeleo! au unadhan cdm ikshka nch itakuletea mchele nyumban!

hakuna kitu kinachokatisha tamaa na kunyongonyesha nafsi kama kubeba mimba alafu miezi ya kuzaa ikapitiliza....!
 
chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
Hapana bana hujafikiria vizuri, ili hayo maendeleo unayotaka yaandikwe yapatikane ni lazima CCM ife, hivyo kwa sasa hakuna habari nyingine ya kuandika zaidi ya kifo cha CCM.Kwani wewe na Chilligati mnaumia nini si muache tu kununua na kusoma hayo magazeti...au inaingia?
 
Chiligati kachemka sana mana anaposema waandishi waandike habari za maendeleo ni ***** mtupu anaouongea maana cha kwanz walitakiwa wamuulize hayo maendeleo ni yap ya kuandika maana kila wizar imejaa madudu au ndo anataka yaandikwe hayo madudu akiwemo na yy ktk ufisadi ndani ya chama chake akiwa kama kiongoz
shame hm!!!
 
Safari hii 2nawanyoa vipara wote, kama Chili unataka waandishi wa habari wasiandike hzo habari, waandike maendeleo gan watanzania walio pata zaidi, wizi, ufisadi na ulimbukeni wa madaraka.....nyie sasa ni xpired. Computer ikisumbua unapiga window chini.....
 
Huyu gamba vipi? Haziandikwi hivi hivi, zinajiandika mr. Na hata wakikataza (just in case), zitaendelea kujiandika na kusomeka ktk mioyo ya watanzania. It's a powerful wind of changes (for better). It is a political tsunami, unseen in these shores since her creation.

Therefore, Chili-gani be afraid, be very shaken and flee!
 
wewe Chiligati,umeishiwa sera,unachotakiwa jisalimishe mapema CDM,vinginevyo utaishia pabaya,na kufa kabisa!!!
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

Maumivu ya kichwa huanza taaaratibu, Tumia Action
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

Nina maswali kwa Chiligati!
1. Kazi ya Mwandishi wa habari ni nini?
2. Sifa za mwandishi wa habari ni nini?
3. Kama tukio limetokea alafu mwandishi hajaandika jamii itamchukuliaje?
4. Je mwandishi aandike kadiri ya matakwa ya wanasiasa ama aandike kadiri anavyopata habari?
5. Je wakati waandishi walipokuwa wanaandika habari za watu kuhamia sisiem miaka ya Nyuma chiligati alikuwa wapi?

Mwisho namshauri CHILI GET aache unafiki!!!
 
Chilligati huyu ni sawa na vilaza wengine katika chama cha mapinduzi, sioni tofauti yake na NApe Nnauye, sioni tofauti yake na Makamba.

MAENDELEO YA KWANZA NI KUFA KWA CCM, KUANGAMIA KWA CCM, NI KUZIKWA KWA CCM.
Habari za kifo cha ccm ni habari njema labda kuliko habari yoyote.
Tunaikataa ccm kwa mambo yake yote, kwa tabia zake zote, tumejitolea kwa kila hali kuunganisha nguvu kuiangusha.
 
chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.

Hana point yoyote,

Mboan wakihamia ccm wanatangazwa sana?
Ajifiche kule kama hana kitu chakuongea cha kufanya wanaccm waache kuhamia Chamema

Lazima ziandikwe hizi habari muhimu sana kwani zinahamasisha kukimbia chama cha m
 
Hata hiyo ni taarifa,wananchi wana haki ya kujua.Hata hivyo inaonekana wazi jamaa taarifa hizi zimemkera sana, maana kaona wananchi wanazidi kuhamasika kukihama chama cha magamba.Na bado,ndio kwanza kunapambazuka!
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

Hv hajui kuwa kwa sasa CDM inaleta maendeleo ya waTZ kuliko CCM???? Kafunika kichwa chake kwenye mchanga................
 
Back
Top Bottom