Chiligati: Acheni kuandika habari za wanachama wa CCM kujiunga CHADEMA

Kwa kawaida mtu unapotoka pabaya na kuelekea kuzuri ndo maendeleo. Nadhani kutoka sisemu kwenda CDM Ni maendeleo pia
 
Chiligati anasema tuandike mambo ya maendeleo kuna maendeleo gani zaidi ya wizi kwenye ule mradi wa kilimo kwanza wamejinunulia ma V8 gazeti bila kuitukana CCM halafu ukaisifia CDM huuzi ndio maana Uhuru haiuzi zaidi ya nakala 50 tanzania nzima
 
mbona magazeti ya udaku hajayasemea maana yanaharibu jamii kwa habari na picha chafu anayasakama magazeti yaliyogundua habari zenye mashiko

aache kimbunga kimpitie na yeye ila huku hana nafasi labda aende CCM B au NCCR Manunuzi
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.
haya maneno wanaweza kuwaambia wahariri wao wa habari kwenye vyombo vyao vya serikali+chama-si hiz tv/radio binafsi.
BTW-kama kwake si habri-kwetu ndo inauza front page
 
mambo gani ya maendeleo unataka yaandikwe? kama serikali ya CCM haina mambo ya maendeleo inayofanyia wananchi waandishi waandike nini. Kuandikwa kwa wanachama wa CCM wanaojiunga CDM ni suala la maendeleo pia kwani si inaonyesha CDM inaendelea kuliko CCM? pia hilo ni angalizo kwa CCM wajipange ili kutekeleza ahadi zao walizo haidi wakati wa kampeni ili wakubalike.

we unataka maendeleo gan! au unataka serikal ikununulie unga!!!
 
Maendeleo yenyewe hakuna sasa unataka waandike kitu ambacho hakipo!!, CCM ndiyo imetuleteza haya maafa na vilio vya kufa na kusaga meno, kitendo cha wana CCM kuamia CDM hakiwezi kufumbiwa macho lazima kisemwe kwani kinadhiira ni namna gani watu wameanza kujikomboa kifikra.

acha mawazo yako mgando hayo, hivi unajua maana ya maendeleo! au unadhan cdm ikshka nch itakuletea mchele nyumban!
 
Mzee Chiligati hujui maana ya maendeleo? Ili uitwe umeendelea lazima nyanja 3 ziwe timilifu. Huwezi kuzungumzia maendeleo ya kiuchumi ukaacha Siasa pamoja na maendeleo ya kijamii. Kuandika habari za Siasa kusema wanaCCM wamehamia CDM ni maendeleo ya waTz kisiasa.
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

Kidumu chama cha mapinduzi na fikra sahihi za mwenyekiti
 
kama walimuuliza swali nyie mlitegemea ajibu nini? he is right mnataka achekelee?
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

Chili geti ajiandae tu kwa mvua kubwa kuliko hii.

Asianze kunyanyua mishipa ya shingo kwa kuona mvua za rasharasha ikiwa bado Elnino inakuja.

Atafute sehemu ya kukimbilia.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Ni kweli mkuu nilikuwa Arusha na niliona yale mapipa yalivyojaa kadi za magamba..
Karibu tena mkuu Molemo, tunaendelea kuwakimbiza wameshaishiwa pumzi ulimi nje wanaomba mpira uishe mapema. Chiligati anataka kuwachagulia waandishi cha kuandika, eti waandike habari za maendeleo zipi kama waandishi hawazioni wataandika maendeleo yepi.
 
ushauri kwa mkama ni kuacha kusoma magazeti.asije akapandisha kisukari bure.
 
Mkuu wangu Mibas kilichosababisha nilichongewa na memba mmoja wa magamba kwamba nimemuita Faiza Foxy.
Basi walikuonea mbona humu watu wana-quess majina ya watu kutokana post zao, kwa mfano William Le Mutuz @ Segerea wanadhani ni FMEs na kazi zinasonga mbele kama kawa sijaona mtu amepigwa ban kwa hilo.
 
chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
Ni mambo yapi ya maendeleo unayaona yakiendelea wewe gamba? Jenga hoja acha uvivu wa kufikiri. Kwa taarifa yako kuvua gamba na kuvaaa gamba ni hatua mojawapo katika kuelekea katika maendeleo. Hakuna m2 wa kulishwa kasa zama hizi mtakoma!!!!
 
Back
Top Bottom