Chiligati: Acheni kuandika habari za wanachama wa CCM kujiunga CHADEMA

Acha waandike tu kwani zote ni habari tu wanazotakiwa kuhabarishwa wanajamii,sio mbaya hata wakiandika asubuhi,mchana na jioni
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

anataka uwaziri
 
Huyu vipi,
Watu kuhama CCM ni moja ya maendeleo pia
 
Ngeleja alivyojigamba amevuna wana cdm hewa na viongozi sengerema mbona huyo babu hakusema,anazeeka vibaya
 
Ovyoooooooooo! Mbona yeye hakusema hilo jambo au habari ya maendeleo karukia habari hii?

UJUMBE KWA CHILIGATI:
Acha kuzungumza habari za CCM kujiunga na CHADEMA, zungumzia mambo ya maendeleo.
 
Wellcome back Molemo, lile li-kilaza lililokusababishia ban nililitukana matusi yote linayoyajua!! POLE SANA!!

Chiligati mimi namsapoti, wanamkimbia ili yeye aomboleze peke yake msiba (maana hata Baba Mwanahasha nae yuko njiani)!!? Alafu bado na waandishi wa habari wanamuongezea stress!! Akijinyonga je!!?
 
Maendeleo yapi.... Ya kuibiwatwiga au yepi unamaanisha?,
chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
 
Wellcome back Molemo, lile li-kilaza lililokusababishia ban nililitukana matusi yote linayoyajua!! POLE SANA!!

Chiligati mimi namsapoti, wanamkimbia ili yeye aomboleze peke yake msiba (maana hata Baba Mwanahasha nae yuko njiani)!!? Alafu bado na waandishi wa habari wanamuongezea stress!! Akijinyonga je!!?

Mkuu Stide nashukuru sana.Namsamehe yule Magamba aliyenifitini kwani alikuwa hajui akifanyacho....
 
chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
mambo gani ya maendeleo unataka yaandikwe? kama serikali ya CCM haina mambo ya maendeleo inayofanyia wananchi waandishi waandike nini. Kuandikwa kwa wanachama wa CCM wanaojiunga CDM ni suala la maendeleo pia kwani si inaonyesha CDM inaendelea kuliko CCM? pia hilo ni angalizo kwa CCM wajipange ili kutekeleza ahadi zao walizo haidi wakati wa kampeni ili wakubalike.
 
Waandishi wa habari wataacha kuandika habari za Wana CCM kujiunga na CDM siku tu CCM kitakapokuwa chama cha Upinzani kama TLP. Na hii si mbali sana ni hapo tu 2015
 
chilgat yupo sahihi kabisa, yawapasa waandish wa habari waandike mambo yamaendeleo katika jamii, siyo kila siku cdm na ccm mpaka lini!!?? wajaribu kuzungumza mambo yanayomgusa kila mtanzania kwa upande wake, tunatengeneza nchi siyo chama.
Maendeleo yenyewe hakuna sasa unataka waandike kitu ambacho hakipo!!, CCM ndiyo imetuleteza haya maafa na vilio vya kufa na kusaga meno, kitendo cha wana CCM kuamia CDM hakiwezi kufumbiwa macho lazima kisemwe kwani kinadhiira ni namna gani watu wameanza kujikomboa kifikra.
 
hivi huyu chiligati yeye ni nani mpaka atupangie habari? Mwambieni kimbunga cha M4C kimeshazoa wenzie bado yeye sasa.
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

Naye avuwe gamba
 
Kamarade chiligati wajibu waandishi wa habari kuwa hao wanaoondoka CCM ni MIZIGO na chuma chakavu, waendele kuondoka.na kweli hiyo mizigo inaendelea kuondoka,hivi sasa hao mnaowaita chuma chakavu wamewekewa mapipa kwenye kata mbalimbali wanatupa kadi,kofia,kanga......Duu!!
 
Ni kweli mkuu nilikuwa Arusha na niliona yale mapipa yalivyojaa kadi za magamba..
 
Naibu katibu mkuu wa CCM John Chiligati ameshutumu tabia ya vyombo vya habari kushupalia suala la wanachama wanaotoka CCM kwenda kujiunga na CDM.
Chiligati ameshauri vyombo vya habari kuandika mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania na si kila siku kuandika habari za wanaCCM wanaojiunga CDM.
Chiligati alikasirishwa na maswali ya waandishi kumtaka atoe maoni yake kuhusiana na wimbi la wanachama na viongozi wanaojiunga CDM kutokea CCM.
Source:Tanzania daima.

Mpuuzeni huyo, ni mambo gani ya msingi yanayohusu maendeleo ya watanzania yanafanywa na ccm serikali? kama siyo ufisadi na longolongo nyingi?
 
Back
Top Bottom