Childishness and Predictability in Korean Series

Nimemcheck aisee kumbe jamaa mkubwa lakini anaonekana mtoto.Hawa wenzetu wako vizuri sijui wanakula nini...

Mie jinsi navyowaona kwenye movie inaonekana ni watu wenye kujari sana afya zao hasa kupangilia vyakula.
Namkubali sana yule mshikaji.
 
Sana...bora umenipa jina lake nikajua kumbe anadate na yule min park young aliyecheza nae city hunter???
Pia Il gook song (jumong) ni mkubwa yuko kwenye 40's sikumini macho yangu mimi nilidhani yupo kwenye 20's
 
Ila kuna tetesi wamebwagana ila wao wenyewe wanakataa wanasema wako busy tu,sijajua sasa hivi vp.
 
Hata mimi pia nimeona...lakini they looks good together...
Hivi walianza kudate kabla au baada ya city hunter?
 
Baada ya city hunter.

Oooh basi sawa....naona walinogewa..
Ila yule jamaa ni handsome jamani...kama watakua wameachana kweli I guess yeye ndiye chanzo...
Hivi ni kweli park min young alifanya surgery?
 
Hahahahahaaa.. Naona umenogewa na Lee Min ho... Wakorea wanakwambia hata aki advertise sabuni kama chakula, wao watakula kabisaaa... He can sell any advert..!!
 
Umeangalia boys over flowers??

Nimeiangalia last year....ndiyo iliyonifanya nimpende hadi nikaanza kumfuatilia...hakuna movie nitakayoiona yupo niiache hivihivi....namkumbuka sana kun gu pyo na Jan dee...dah ile movie kali sana
 
Hahahahahaaa.. Naona umenogewa na Lee Min ho... Wakorea wanakwambia hata aki advertise sabuni kama chakula, wao watakula kabisaaa... He can sell any advert..!!

Haha hahaaaaa nimenogewa naye kwelikweli yani....nampenda haifai kusema.....kweli wakorea wana bahati sana...pia il guk song namkubali sana
 
Nimeiangalia last year....ndiyo iliyonifanya nimpende hadi nikaanza kumfuatilia...hakuna movie nitakayoiona yupo niiache hivihivi....namkumbuka sana kun gu pyo na Jan dee...dah ile movie kali sana

Hahahaaa.. Ni kiboko.. Then wakatoa the heirs ambayo plot zinafanana... The guy is good at what he does.
 
Gum jan dee..hshahsaa... What abt Kim Hyun Joong... The silent guy.. White hair..!! Naye yuko juu sana na ni mwana muziki mzuri sana...
 
Yaani hiyo iliniliza sana...hasa pale yule msichana alivyoondoshwa na baba yake jamaa ili wasiwe na mahusiano...
Jamaa akajidai mjanja kumpangia nyumba kumbe mwenzie kesho anaondoka.....aaaarg
 
Gum jan dee..hshahsaa... What abt Kim Hyun Joong... The silent guy.. White hair..!! Naye yuko juu sana na ni mwana muziki mzuri sana...

Sijui kwa nini simkubali jamaa hasa alivyokua anatibua mapenzi yao...alinikera sana
 
Oooh basi sawa....naona walinogewa..
Ila yule jamaa ni handsome jamani...kama watakua wameachana kweli I guess yeye ndiye chanzo...
Hivi ni kweli park min young alifanya surgery?

Sijajua
 
Personal taste ambayo pia ameigiza Le min ho,mmeshaiona?
 
Back
Top Bottom