Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,319
Personal taste ambayo pia ameigiza Le min ho,mmeshaiona?
Sijaiona hadi niitafute...hebu nidokeze kidogo ikoje...
Personal taste ambayo pia ameigiza Le min ho,mmeshaiona?
Sijaiona hadi niitafute...hebu nidokeze kidogo ikoje...
Humo yeye kaigiza kama architect,sasa kuna nyumba kaenda kupanga ili aweze kuchora ramani ya hiyo nyumba.halafu hiyo nyumba anaishi demu tu pekee yake kwahiyo jamaa inabidi ajifanye kama gay.
Haha hahaaaaa itabidi niitafute nione amewezaje kuimudu character ya gay....interesting
Hehehe...we itafute nikiieleza nitaitoa radha.
ndo kwanza niko episode ya 6.. and its so promising.. full drama and love loveee
ndo kwanza niko episode ya 6.. and its so promising.. full drama and love loveee
Za siku nyingi mkuu?
Kwema sana kiongozi..
Personal taste nilisha maliza, atleast ina ending nzuri....
Now am watching Fated to love you..
Hiyo fated to love nzuri?mie sijatizama siku nyingi kidogo mara mwisho nilikuwa natizama Emergency couple ndiyo nataka niimalizie.
Jamaniiiiiiiii
Ndo kwanza nimeianza.. Its promising.... Emergency couple ni nzuri?
Emergency couple yupo yule aliyekuwa kaka ake Le min ho katika Heirs nayo nzuri.
Ayaa...that mean guy.. Ntaitafuta..
Ushaitafuta...wenzio nimeshaimaliza... Ina good ending, iko funny pia...
Bado,niliichek online wakaniambia bado haijafika kwenye nchi yangu!
Ila nilikua naangalia nyingine Myung Wol the spy niliipenda sana
Pia The temptation of an angel na I can hear your voice
I can hear your voice nimeiona.
Itafute Myung Wol the spy utakuja kunihadithia....nilicheka sana