Childishness and Predictability in Korean Series

Childishness and Predictability in Korean Series

Hizi series ni kama asali ni nzuri in small dozes ukiangalia kidogo kidogo ni poa ila ukiangalia nyingi zinakinaisha sana...

Ila baada ya kurudi Hollywood kwa miezi michache sasa nimerudi kuangalia Watch Empire of Gold Korean Drama Episodes with subs or downloads

looks promising na mpaka sasa nipo episode ya nane kati ya 24 hakuna utoto wa mapenzi na kuna real power struggle na plot ni nzuri labda huko mbele waharibu kama kawaida yao

Mkuu mbona hupendi mapenzi ya wakorea???Mimi moja kati ya vitu vinavyonivutia mno kwenye movies za kikorea ni wanagusa nyanja zote,vita,mapenzi n.k
 
Ofcourse ni nzuri hususan zile za kizamani.., ila yale mapenzi yao.., na sometimes plot zao au mambo yanayofanyika justification zake leave a lot to be desired.., alafu nyingi ukiangalia (hususan za kisasa unajua tu nini kitatokea mwisho wake) alafu naona ma-directors wengi wa Korea wanapenda endings za kusikitisha not always a good ending

Sidhani kama ni kazi ya director hiyo......
 
Ni Kweli mkuu Lakini jaribu kutafuta Cinderella's step sister nzuri sana
 
Nipo natazama The Heirs kwa sasa, episode ya 10 lakini naona bado haijanivutia kama zile za kihistoria,,,,,,,,Jumong, Iljimae na Chuno nadhani mpaka sasa sijaona filamu nyingine ya kikorea inayoweza kuzifikia.
 
The heirs ni nzuri ila plot yake inafanana na ya Boys over flowers..
 
Ni kweli,ukishazoea zile za kihistoria ni ngumu kuzikubali hizi za town...mimi pia nilikua hivyo lakini nowdays napenda zote,ni nzuri sana hiyo movie icheki tu utaniambia
Mimi iliniliza sana karibia mwishoni...
 
The heirs ni nzuri ila plot yake inafanana na ya Boys over flowers..
Nitaimalizia wikendi hii.......natafuta Emperor of the sea lakini siipati huku mtandaoni.
 
The heirs ni nzuri ila plot yake inafanana na ya Boys over flowers..

Ni kweli kutokana na yule mhusika mkuu...Ivi anaitwa nani???Mimi namjua Jumong tu anaitwa Ill Gook Song
 
Sidhani kama ni kazi ya director hiyo......

Its the writers' fault..

Director anayo mandate na anakuwa involved kwenye aspects zote za movie; (story telling, acting na creativity).., hata script writer akiandika kitu director anaweza kubadilisha au kushauri mabadiliko kulingana na anataka muonekano uwe vipi.., na sio lazima afuate word by word ya script writer au story ilivyo.. kwahio I still blame the Korean Directors; ingawa kwenye historical/periodicals story huwa ipo ila director anaweza akai-sugar coat na kuonekana bora...

Mimi na wewe tunaweza kuelezea story ile ile..., ila ya kwako ikaboa na yangu ikafurahisha na kuvutia
 
Hahaaa.. Chuno nayo am done with it.. Just naboreka na mpvie ambayo star anakufa at the end.. There is no happy ending in korean series

Cjui kwann wanafanya hvi hata mm sipend
 
Hawa jamaa hawajui kwamba story ni pamoja na beginning, middle na ending ni ya muhimu zaidi, sababu kama mwisho ni wa ajabu au yule aliyehangaika episodes zote za mwanzo mwisho hafanikiwi basi hakuna umuhimu wa ile story (no one likes to invest his time watching losers, we have enough of this in real life)....

Anyway angalau hii nimeangalia haina utoto.., na mwisho mtu anafanikiwa kile ambacho inabidi afanikiwe

Watch Incarnation of Money Korean Drama Episodes with subs or downloads
 
mi cjui kwann ila hapa duniani nimetokea kuzichukia hizi drama! unless kama zinaenda na age zinipite. sizipendi
 
Tokea IRIS sijaona nyingine...zote n za kitoto...mie nasubir GAME OF THRONE S5..yaani tokea LOST na 24 hii ndio inafataa
 
Tokea IRIS sijaona nyingine...zote n za kitoto...mie nasubir GAME OF THRONE S5..yaani tokea LOST na 24 hii ndio inafataa

Hata Lost mwishoni ili- Lost the Plot..... kwa sasa pia Person of Interest; Banshee; na hata Burn Notice sio mbaya to name just a few.., ila Game of Thrones ni poa sana..

Tatizo la Hizi series za Marekani nyingi huwa either zinakuwa cancelled au story ikiwa nzuri wanairefusha kuliko walivyopanga hapo mwanzo hence mwisho wa siku series inapoteza muelekeo ila in comparison zinawaacha mbali sana hawa wa-Korea
 
Back
Top Bottom