Mkulu p
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 630
- 219
Wakuu naulizia Torrent nitakayoweza pata hizi series za wakorea hasa zile za kizamani.
Muv nyingi za korea unazipata MBC
Wakuu naulizia Torrent nitakayoweza pata hizi series za wakorea hasa zile za kizamani.
Internet Download Manager
how can i install it in my pc? maana torrents inanipasua kichwa balaa
That one is good, very good, but sad ending...
Joseon Gunman is historical and still on going..
I just love it. Promising too.
Nimemaliza kucheki gye baek.., ila ni ya kawaida tu, sio nzuri kihivyo ingawa ilianza vizuri sana ukilinganisha na kina Yi San na Jumong hii haifikii hizo., anyway sasa hivi ngoja niangalie King Gwanggaeto the Great
that why called a god
Hio nayo nimemaliza kuangalia kitambo.. Ni ndefu kinooma na episode za mwisho sio nzuri sana.. Tafuta tree with deep roots au baek dongsoo..
Samahan mkuu baek dongsoo nimeishia seaaon 2 vp inaendelea??
Yep hii series kali sana mm nimeishia season 2 hebu tuambiane kama ni mwisho au inaendelea,a man called god ni kiboko
Yep hii series kali sana mm nimeishia season 2 hebu tuambiane kama ni mwisho au inaendelea,a man called god ni kiboko
kuna episodes 24 tu, hakuna cha season 2 wala 3 wala Season One cheki zote hapo
Watch A Man Called God Korean Drama Episodes with subs or downloads
Season two ndo mwisho..anamuua swaiba wake Un...
Hawajamaa kwenye finishing wanaboa kiasi
kuna episodes 24 tu, hakuna cha season 2 wala 3 wala Season One cheki zote hapo
Watch A Man Called God Korean Drama Episodes with subs or downloads
Nimemaliza kucheki gye baek.., ila ni ya kawaida tu, sio nzuri kihivyo ingawa ilianza vizuri sana ukilinganisha na kina Yi San na Jumong hii haifikii hizo., anyway sasa hivi ngoja niangalie King Gwanggaeto the Great
Hio nayo nimemaliza kuangalia kitambo.. Ni ndefu kinooma na episode za mwisho sio nzuri sana.. Tafuta tree with deep roots au baek dongsoo..
Huo mzigo (King of Gwang....) ni wa maana, una episode za kutosha,
nimeangalia " My Girlfriend is Gumiho" kiukweli wamechemka kuna a lot of childish,
kuna nyingine inaitwa 49 Days, hiyo kiukweli wamepiga kazi
Amitabh...
Hapa siongelie zile historical kama Jumong, Yisan, Painter of the Wind, Tree with Deep Roots n.k., naongelea zile modern.
Kwa kweli nyingi nazoziona ni kama zinafanafana saana as well as ni predictable unaweza kujua ni nini kitatokea. Alafu zipo a bit childish, Plot zake unakuta mtu anafanya revenge kuumiza wale waliomuumiza ila eti na yeye anaumiza wale wa karibu yake na yeye kuumia mwenyewe (kitu ambacho kinaondoa dhana ya yeye ku-revenge in the first place)
Nyingi zina story nzuri overall lakini plot zake zinakuwa za kitoto na zina-defy logic. Sijui ni tatizo langu pekee au na wengine pia, nadhani wapo vizuri sana kwenye zile historical lakini kwenye modern series nadhani za western bado zipo juu as well as dialogue inasaidia kuzifanya ziwe bora, pia zipo more realistic.
hali ya aina hii ndo ilinifanya niache kuangalia tamthilia za kifilipino.but za wakorea bado kwangu ni the best.napenda sana mandhari wanayoigizia pamoja na stori zao.kuna baadhi ya zingine za kimujini ni noumer.tafuta moja inaitwa CITY HUNTER,ni sheeedah mkuu
Sasa ngoja niangalie King Geunchogo nione nayo vipi
Hio nayo iko poa.. Betrayal at its worst. Now am watching empress Ki and its promising