serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,354
- 4,760
Hii King Geunchogo baada ya kugundua kwamba ni watoto wa Kambo wa Jumong na yule mpenzi wake na mwanzo wanagombania kuongoza nchi ya Yuri mtoto wa Jumong nimeona kwanza ngoja niiweke pending ngoja kwanza niangalie hii Chuno - slave hunter.., mara nyingi mimi napenda underdogs ndio washinde yaani mtu ambae hategemewi sana afanikiwe..
Duh tatizo choice zikiwa nyingi mtu unashindwa ucheki ipi na uache ipi
Hahaaa.. Chuno nayo am done with it.. Just naboreka na mpvie ambayo star anakufa at the end.. There is no happy ending in korean series