Childishness and Predictability in Korean Series

Hizo mi nliacha kuangalia maana huwa naona ni series za wasaidizi wa kazi mimi huwa siwezi kuziangalia ni za kitoto sana na ni kweli unaweza kujua itaishaje na hata kufanana ..nlijaribu kuangalia mbili hivi sikumaliza hata episodes tatu...maana zina bore sana na naona kama wao wananifikiria mimi ni mtoto sana.wakati najielewa. sipend watu watengeneze series kwa kuwadharu watizamaji kana kwamba watizamaji wote ni darasa la saba au wana upeo mdogo wa kufikiri.

Sio zote zipo hivyo,lakini hata za kizungu kama Tomorrow people.nimeshindwa kuendelea yani kama unaangalia cartoon,haya mambo ya movie inategemea unapenda za aina gani.
 
of course sisemi za kizungu zote zipo serious...mi napenda series ambazo zipo serious na si za kufikilika sana ambazo uhalisia wake haupo mf babylon 5 etc. but pia napenda new ideas. kwa mfano kwa sasa siangalii any series abt vampire au wolf...maana hiyo nayo imekuwa them inajirudia rudia sana.ukitaka za kipelelez ziwe na kitu cha tofaut.zipo za kizungu za kijinga pia ila za kikorea zimekuwa nying sana ambzo si level yangu....nmeangalia nying sana zaid ya series 100 za kizungu na bado naendelea kuangalia.
 
Mi binafsi naona movie za kizungu nyingi zinafanana hadi nimechoka,series za kikorea wana ideas tofauti ndiyo kilichonivutia.Nakumbuka hata mie mara ya kwanza rafiki yangu alinipa ile city hunter ya kikorea na kuisifia sana ila mie niliichukuwa tu ila sikuwa na nia ya kuangalia,ila kuna siku niponipo tu home halafu sina hata movie ndiyo nikaona hebu nijaribu kuiangalia ila ilinivutia ndiyo ikawa series ya kwanza ya kikorea kuangalia.
Jaribu kuiangalia Athena.
 
Kumbe hukuanza na "inspirational Jumong"? Hio ndio ilifungua njia yakheee
 
Yani mie sijui kwanini..yani Jumong siwezagi kuangalia movie zake wala aina za movie zile za mapanga sio mpenzi,mie nilianga tu ile The Man called god
 
Ujue mwanzoni zilikuwa movie za mapanga mapanga tu basi ndiyo nilikuwa hata sitaki kuzisikia,
 
Daah.. Basi ule uhondo wa Jumong uliukosa.. Trust me, hizo historical drama ndo zina rock zaidi.. Hakuna utoto mule..
 
Nakubari Kweli zile hazina utoto ila mie sio mpenzi sana wa aina za movie zile halafu ule uongo wake wa mtu mmoja kupigana na kijiji mara kipofu anapigana na mijitu kibao ndiyo wanaponimaliza.
 
Kumbe hukuanza na "inspirational Jumong"? Hio ndio ilifungua njia yakheee

Hata mimi nimeshangaa!!Jumong ndio ilitufumbua macho wengi sana.
Hii movie ndio the best Korean movie of all time to me!
 
Ujue mwanzoni zilikuwa movie za mapanga mapanga tu basi ndiyo nilikuwa hata sitaki kuzisikia,

Trust me,unakosa mengi sana!
Wale ndio wakorea hasa achana na hawa wa mjini ambao wanaigiza uzungu mwingi,japo wanajitahidi ila historical ndio kila kitu!
 
Daah.. Basi ule uhondo wa Jumong uliukosa.. Trust me, hizo historical drama ndo zina rock zaidi.. Hakuna utoto mule..

I second you serio wewe ndo unaejua ladha ya wakorea bwana!
 
Last edited by a moderator:
Yani mie sijui kwanini..yani Jumong siwezagi kuangalia movie zake wala aina za movie zile za mapanga sio mpenzi,mie nilianga tu ile The Man called god

Unashindwa kuangalia kwasababu wewe muoga. Lile panga unaona kama unakatwa wewe vile
 
Hata mimi nimeshangaa!!Jumong ndio ilitufumbua macho wengi sana.
Hii movie ndio the best Korean movie of all time to me!

Baada ya hiyo uliangalia the land of wind muendelezo wake.Yani mie siangalii series zaidi ya series za kikorea
 
Hahahaaa wewe tunafanana,kumbe ndio maana nakupenda eeh?

Yani mie nipo radhi kukesha kisa korean series na nimeishaangalia nyingi hadi kuna time wakiongea najua wamemaanisha nini
 
Unashindwa kuangalia kwasababu wewe muoga. Lile panga unaona kama unakatwa wewe vile

Sio uwoga..kuna moja inaitwa Great seer nataka niimalizie nayo mapanga ila tatizo mi na Jumong ni tofauti kabisa sijui kwanini.
 
Baada ya hiyo uliangalia the land of wind muendelezo wake.Yani mie siangalii series zaidi ya series za kikorea

Hiyo land of wind ninayo no.2 wala hata sijaitafuta namba moja yake siwezi kabisa kuangalia.
 
Yani mie nipo radhi kukesha kisa korean series na nimeishaangalia nyingi hadi kuna time wakiongea najua wamemaanisha nini

Jamani!Ungekua jirani yangu ningefurahije?
Mimi najua kabisaa hicho kikorea,na hapa tu naangalia series nyingine sasa hivi.
 
Dah mie ningekijua kikorea ingekuwa mzuka kweli.
 
Back
Top Bottom