Chief Mkwawa ana mchango mkubwa

Chief Mkwawa ana mchango mkubwa

Nilikuwa nataka kununua PC nilikuwa sijui nianzie wapi kwa hela yangu na ubora wa PC CHIEF MKWAWA alinielekeza hadi nikaelewa na nikafanikiwa! Na machine inapiga kaz hadi sasa! Ubarikiwe kaka mungu awe nawe katika kazi za mikono yako na mengine kwa ujumla! Nashuhudia
 
Last edited by a moderator:

Tueleze ilikua pc gan
 
Mkuu tupia specification hapa tukaisake.
 
Last edited by a moderator:
nawasilisha kwa kuwa follower wa jf kwa n muda mrefu na kuuulza maswali mengi kuhusu tecnilojia Chief-Mkwawa amekua msaada mkubwa kwangu na watu wengine
nilikua naomba kujua experience yako umeitoa wapi
SALUTE YOU CHIEF

kaka ukibadili tu approach yako toka mazoea kuja kuelewa then utajua mambo mengi ya technology.

pia mimi sio mtaalamu zaidi humu jukwaani, kuna watu wapo deep zaidi, ni vile tu napata muda mwingi wa kupost vitu
 
Last edited by a moderator:
kaka ukibadili tu approach yako toka mazoea kuja kuelewa then utajua mambo mengi ya technology.

pia mimi sio mtaalamu zaidi humu jukwaani, kuna watu wapo deep zaidi, ni vile tu napata muda mwingi wa kupost vitu
Sawa chief ww ni jf expert aseee
 
angefaa sana kuwa waziri wa wizara ile ya teknolojia badala ya yule kichwa nazi aliyeko
 
Chief-Mkwawa aisee hili jukwaa lako. Maoni na pongezi humu humu...... Kule kwenye hilo jukwaa ni mbali sana. Hongera zako chukua humu humu.
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa aisee hili jukwaa lako. Maoni na pongezi humu humu...... Kule kwenye hilo jukwaa ni mbali sana. Hongera zako chukua humu humu.

Jibu swali la muanzisha uzi. Kuhusu ujuzi na experience yako. Kama hutajali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom